MRADI WA PROSPER KURUDISHA SHULENI WATOTO WALIOKOSA ELIMU SIKONGE WAPONGEZWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-_ovq2s9L66w/U53ZPakpUBI/AAAAAAAFqyA/I7VKNU9yZ6A/s72-c/unnamed+(34).jpg)
Na Allan Ntana, Sikonge MWENYEKITI wa halmashauri ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora Robert Kamoga amepongeza jitihada zinazofanywa na mradi wa PROSPER katika kutokomeza utumikishwaji watoto katika shughuli za kilimo huku akisifu utaratibu wa kurudishwa shule watoto wote waliokosa nafasi hiyo. Kamoga ametoa pongezi hizo alipokuwa akizungumza na mamia ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya siku ya kupinga utumikishwaji watoto iliyofanyika kimkoa katika kijiji cha Udongo kata ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://lh5.ggpht.com/-CR99I05I4pA/VCRLaiXqgZI/AAAAAAAACPE/VOfXwupP5O8/s72-c/IMG_20140921_225237.jpg)
MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU
EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.
Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Mradi wa Tuimarishe Afya wapongezwa
MRADI wa Health Promotion and System Strengthening (HPSS), ambao pia unajulikana kama ‘Tuimarishe Afya Project’ unaofadhiliwa na serikali ya Uswisi, umepongezwa kwa kuwa moja ya miradi saidizi katika kuimarisha afya...
10 years ago
Dewji Blog08 May
World Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World...
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Wazazi wapongezwa muamko wa elimu
WAZAZI mkoani hapa wamepongezwa kwa kuwa na muamko wa kuwasomesha watoto wao katika shule zinazokidhi mahitaji ya wanafunzi bila kujali hali duni za familia zao. Akizungumza katika mahafali ya kuhitimu...
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Wanadiaspora wapongezwa kwa kusaidia gurudumu la elimu Zanzibar
![](http://4.bp.blogspot.com/-YH3kiVZRUhY/Vd26s5x8YRI/AAAAAAAAT34/BUWUW7Km894/s1600/HAJI.jpg)
Yahya Ame kulia, akionesha makala ya kitabu. Na Abou Shatry Washington DC Jumuiya ya Wazanzibari waishio Nchini Marekani (ZADIA), imepongezwa kwa kusaidia gurudumu la maendeleo ya Elimu visiwani Zanzibar. Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Zanzibar Bw. Suleiman Yahya Ame wakati wa kupokea mchango wa vitabu vya Ufundi na Mafunzo ya Amali uliotolewa na ZADIA kwa ajili ya shule za ufundi visiwani humo. Akizungumza kama mgeni rasmi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eCFTtYgiwCE/Xm29abyyaiI/AAAAAAALjsQ/qMB9fRIyiz0EBTWHCttQfTpPRw4iUMfmQCLcBGAsYHQ/s72-c/44a4ada5-ff85-4eb5-82a1-e10105da1f98.jpg)
MKOA WA GEITA WAPONGEZWA KWA KUWA WABUNIFU KWENYE MIUNDOMBINU YA ELIMU
NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulika Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI Gerald Mweli amefurahishwa na ubunifu wa kutumia tofali mfungamano (Interlock) kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa katika kukabiliana na mrundikano wa wanafunzi katika shule za Mkoa wa Geita.
Mweli ameonyesha furaha yake wakati wa ziara ya kikazi Mkoani humo iliyokua na lengo la kukagua miundombinu ya Elimu iliyojengwa na inayoendelea kujengwa pamoja na kupokea changamoto za walimu na kuzitolea ufafanuzi.
Akiwa Mkoani Geita Mweli...
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Pinda awapa somo viongozi wa Mbeya kurudisha heshima ya elimu
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-4lRkb1_s7OI/VYQrmAV5xgI/AAAAAAAAe4Y/1xFfthN7mro/s72-c/INDIA%2B341.jpg)
INDIA YAIPA TANZANIA MKOPO WA DOLA MIL. 268 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI KATIKA MIJI YA TABORA, IGUNGA, NZEGA NA SIKONGE
![](http://3.bp.blogspot.com/-4lRkb1_s7OI/VYQrmAV5xgI/AAAAAAAAe4Y/1xFfthN7mro/s640/INDIA%2B341.jpg)
Na Ally Kondo, Delhi
Serikari za Tanzania na India zimewekeana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya kushirikiana...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Elimu ya ujasiriamali shuleni na vyuoni inawezekana- 1