Msaada wa Marekani kwa Uganda
John Kerry asema uidhinishaji wa sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja Uganda unakiuka haki za binaadamu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi23 May
10 years ago
MichuziJK apokea vitabu vya sayansi kwa shule za Sekondari vilivyochapishwa kwa msaada wa watu wa marekani
11 years ago
Bongo518 Jul
Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani yalazimika kutua kwa dharura barabarani Uganda
Ikiwa hata saa 24 hazijatimia toka taarifa ya kuanguka kwa ndege nyingine ya Malaysia jana huko Ukraine, ndege nyingine ndogo imelazimika kutua kwa dharura barabarani leo (July 18) nchini Uganda. Ndege hiyo aina ya N604AR, iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa Marekani, ilitua katika eneo la Kiwawu umbali wa kilomita 22 kutoka wilaya ya Mityana na kuathiri […]
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Wafadhili warejesha msaada Uganda
Wafadhili wameridhika na kazi ya serikali mnamo mwaka wa fedha 2012/13, baada ya uhakiki wa kila mwaka kuhusu matendo ya serikali.
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Norway yaifutia Uganda msaada
Kampala.Serikali ya Norway imesitisha msaada wa kiasi cha Sh 20 bilioni kwa Uganda baada ya Serikali ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki kusaini muswada wa sheria dhidi ya  ndoa za jinsia moja.
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
WFP kupunguza msaada wa chakula Uganda
Shirika la chakula duniani WFP limetangaza kuwa litapunguza kwa nusu kiwango chake cha msaada wa chakula nchini Uganda
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Marekani yaiwekea vikwazo Uganda
Marekani yaiwekea uganda vikwazo kufuatia sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Marekani:Uganda hatarini kushambuliwa
Ubalozi wa Marekani nchini Uganda, umesema una taarifa za uwezekano wa shambulio la kigaidi nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
Hofu ya TZ kunyimwa msaada na Marekani
Serikali ya TZ iko hatarini kukosa dola za Marekani milioni mia saba sawa na trilioni 1.1 kwa fedha za TZ kwa ajili kufadhili miradi ya Milenia (MCC) kutokana na kushamiri kwa vitendo vya rushwa nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania