Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshauri wa Dk Shein afariki

Mshauri wa Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein katika masuala ya Utalii, Issa Ahmed Othman amefariki dunia akiwa katika matibabu nchini India.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mshauri wa Rais Zanzibar afariki dunia

Issa Ahmed Othman enzi za uhai wakeALIYEKUWA Mshauri wa Rais wa Masuala ya Utalii katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Issa Ahmed Othman ambaye alifariki dunia Januari 25 akiwa katika matibabu nchini India, amezikwa juzi katika kijiji cha Kianga nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

tanzia: Issa Ahmed Othman aliyekuwa Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii afariki dunia

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii,aliyefariki nchini India alipoenda kwa matibabu.Katibu Mkuu alitoa salaam za pole kwa familia ya marehemu na ndugu zake kupokelewa na kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman nyumbani kwao Shenge Juu, Pemba.

Na Abdulla Ali - Maelezo, Zanzibar                             
Aliyekuwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Ukiolewa, kuwa mshauri wa mumeo!

BLD080939Asalam Alaikum, Bwana Yesu asifiwe, bila shaka wasomaji wangu wa safu hii ni wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa kwa hilo nashukuru Mungu.

Leo nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanawake wengi ambao wapo kwenye ndoa na hii imekuwa kama fasheni kwa ndoa nyingi jambo linalokera na wala halipendezi kwa ndugu ama jamii.

Wanawake wengi tunashindwa kuwashauri waume zetu jinsi ya kutumia pesa, tunaendekeza starehe na sehemu ambazo si za kutusaidia hapo baadaye.
Wiki...

 

11 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa mshauri wa D.Cameron afungwa

Andy Coulson, alikuwa pia mhariri wa gazeti la iliyokuwa 'News of the World' amehukumiwa kwa udukuzi wa mawasilioni ya simu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshauri wa Nkurunziza anusurika shambulio

Mshauri wa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amenusurika shambulio alipokuwa akitoka nyumbani kwake katika eneo la Kajaga, magharibi mwa mji mkuu Bujumbura.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mshauri wa WHO aonya kuhusu Ebola

Mshauru mashuhuri wa WHO ameonya kuwa visa vipya vya ugonjwa wa Ebola vinatarajiwa miongoni mwa maafisa wa afya

 

10 years ago

Vijimambo

MAZIKO YA MSHAURI WA RAIS UTALII ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Amani Abeid Karume (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine na waislamu mbali mbali wakijumuika kwa pamoja kumswalia aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Utalii Marehemu Issa Ahmed Othman katika Masjid Mahfoudh Mazizini, Marehemu alifariki juzi Nchini India na kuzikwa leo Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja.Rais...

 

10 years ago

Michuzi

MAZIKO YA MSHAURI WA RAIS UTALII YAFANYIKA ZANZIBAR

unnamed Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Amani Abeid Karume (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine na waislamu mbali mbali wakijumuika kwa pamoja kumswalia  aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Utalii Marehemu Issa Ahmed Othman katika Masjid Mahfoudh Mazizini, Marehemu alifariki juzi Nchini India na kuzikwa leo Kianga Wilaya ya Magharibi...

 

10 years ago

StarTV

Padri Nicholaus Segeja ateuliwa mshauri wa Papa.

Na Jacob Marcus,

Mwanza.

Baba Mtakatifu Francis amemteua Padri Nicholaus Segeja kutoka Tanzania kuwa miongoni mwa wajumbe wa tume yake ya kimataifa ya kumshauri masuala ya kiimani kwa kipindi cha miaka mitano.

 

Padri Segeja ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu cha kanisa katoliki cha Afrika Mashariki kilichopo Nairobi Kenya amepata uteuzi huo akiwa amebobea katika elimu ya kanisa inayohusu uchungaji wa kanisa katoliki.

 

Akizungumzia uteuzi huo ambao ni wa kwanza katika ukanda wa Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani