Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukiolewa, kuwa mshauri wa mumeo!

BLD080939Asalam Alaikum, Bwana Yesu asifiwe, bila shaka wasomaji wangu wa safu hii ni wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa kwa hilo nashukuru Mungu.

Leo nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanawake wengi ambao wapo kwenye ndoa na hii imekuwa kama fasheni kwa ndoa nyingi jambo linalokera na wala halipendezi kwa ndugu ama jamii.

Wanawake wengi tunashindwa kuwashauri waume zetu jinsi ya kutumia pesa, tunaendekeza starehe na sehemu ambazo si za kutusaidia hapo baadaye.
Wiki...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

JK amteua Thadeo Mwenempazi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Sheria

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Thadeo Marko Mwenempazi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Sheria.

Uteuzi wa Ndugu Mwenempazi umeanza tokea Jumatatu ya Agosti 24, mwaka huu, 2015.

Taarifa iliyotolewa leo, Ijumaa, Septemba 4, 2015 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue imesema kuwa kabla ya uteuzi wake, Ndugu Mwenempazi alikuwa Wakili...

 

9 years ago

Mwananchi

Sitta: Siasa basi,aamua kuwa mwandishi wa vitabu na mshauri

Kwa mara ya kwanza tangu Kamati Kuu ya CCM ilipomuengua kwenye kinyang’anyiro cha uspika, Samuel Sita ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa, jana ameweka bayana mustakabali wake; ameamua kustaafu siasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi: Nkurunziza tayari kuwa 'mshauri wa ngazi ya juu'

Rais wa Burundi alifanya kila liwezekanalo kubakia mamlakani miaka mitano iliyopita lakini sasa anaondoka madarakani - walau rasmi.

 

10 years ago

GPL

SIFA 6 ZA MWANAUME ANAYESTAHILI KUWA MUMEO!

Wiki hii nitazungumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa lakini bado wanashindwa kutambua yupi ni sahihi na yupi si sahihi kuitwa mume. Tufahamu kwamba si kila mwanaume unayekutana naye na ukampenda anafaa kuwa mumeo. Wengine wana mapungufu makubwa ambayo bila kuyabaini na ukaingia kichwakichwa, utakutana na matatizo makubwa. Kwa...

 

10 years ago

GPL

MNYWAJI WA POMBE ANAFAA KUWA MUMEO?

NI matumaini yangu wasomaji wa safu hii mko vizuri na mpo tayari kupokea mada mpya ambayo nimewaandalia. Namshukuru Mungu kwa kunipa afya, tuweze kujadili kwa pamoja mada iliyopo mezani. Mada inajieleza hapo juu, kutokana na visa na uzoefu mbalimbali waliopitia, wanawake wamekuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume ambao wanatumia kilevi.Wapo wanaoamini kwamba mwanaume ambaye anatumia kilevi hafai kuwa mume lakini wapo wengine...

 

10 years ago

Mwananchi

Mshauri wa Dk Shein afariki

Mshauri wa Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein katika masuala ya Utalii, Issa Ahmed Othman amefariki dunia akiwa katika matibabu nchini India.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mshauri wa WHO aonya kuhusu Ebola

Mshauru mashuhuri wa WHO ameonya kuwa visa vipya vya ugonjwa wa Ebola vinatarajiwa miongoni mwa maafisa wa afya

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshauri wa Nkurunziza anusurika shambulio

Mshauri wa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amenusurika shambulio alipokuwa akitoka nyumbani kwake katika eneo la Kajaga, magharibi mwa mji mkuu Bujumbura.

 

11 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa mshauri wa D.Cameron afungwa

Andy Coulson, alikuwa pia mhariri wa gazeti la iliyokuwa 'News of the World' amehukumiwa kwa udukuzi wa mawasilioni ya simu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani