Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTABIRI AMPA JIDE UHAKIKA WA KUZAA

Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha
Habari njema! Kufuatia wimbi la baadhi ya mastaa kulia na tatizo la ugumba, mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahaya Hussein, amemtabiria mema staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ kwamba endapo atatafuata tiba mbadala, atapata mtoto mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Maalim Hassan alisema kwamba, huu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA AMPA MUMEWE SHARTI LA KUZAA NAYE

Stori: Imelda Mtema
SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark, Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake. Mwigizaji Lucy Komba akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema amemwambia mumewe akamilishe taratibu zote za nchini kwao ili yeye awe na uhalali wa kuishi nchini humo ndipo wazae watoto. “Unajua napenda...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya kushindwa kuzaa na Wema na Penny. Hatimaye Diamond 'ampa' ujauzito Zari

Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.

 

USHAHIDI WA...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi

KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.

“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...

 

9 years ago

GPL

MTABIRI: KIFO CHA MGOMBEA

Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya. Gladness mallya MTABIRI maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya ameibuka na kusema kwamba utabiri aliowahi kuutoa kwamba kuna mgombea urais atafariki, bado upo palepale.....Soma zaidi===>http://goo.gl/wI0xxE

 

10 years ago

GPL

MTABIRI ALITABIRIA PENZI LA RAY, CHUCHU

Na Gladness Mallya
MTABIRI maarufu nchini, Hassan Yahya Hussein amelitabiria penzi la waigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans kuwa litakuwa na mafanikio makubwa kwani wanaendana. Waigizaji wa filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans wakipozi. Akizungumza na Amani, Hussein alisema kinyota Ray nyota yake ni aina ya Mashuke ambapo Chuchu nyota yake ni Mapacha… ...

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAMIMINIKA KWA MTABIRI

Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
MAJANGA! Wakati vuguvugu la kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais likiendelea, imegundulika kuwa wagombea wengi  wa urais wamekuwa wakimiminika kwa mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya, (pichani) maeneo ya Magomeni Mwembechai jijini Dar  es Salaam kwa ajili ya kutabiriwa safari yao hiyo, Ijumaa lina mkanda kamili. Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya. Gazeti hili...

 

9 years ago

GPL

MTABIRI: VIFO VYA WABUNGE BADO VIPO!

Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki, Maalim Hassan Yahya. Gladness Malya na Gabriel Ng’osha
DUH! Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki, Maalim Hassan Yahya amesema vifo vya watu maarufu na wanasiasa bado vipo na vinasababishwa na mvutano mkali wa nyota za wagombea wawili wa urais, John Magufuli (CCM) na Edward Lowassa (Chadema) Akizungumza na Ijumaa Wikienda alisema alishawahi kutabiri kutokea kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani