Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA TIBAIJUKA ALICHOJITIRIRISHA KWENYE MTANDAO WA KIJAMII BAADA YA MAAMUZI YA MH. RAIS


Siku ya jana baada ya Rais kutangaza rasmi kwamba Mh Anna Tibaijuka anachia nafasi yake ili wengine waongoze mtoto wake wa kike anajulikana kwa jina la Kagem Tibaijuka ameibuka kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwatukana wanachi matusi ya nguoni bila hata ya kuangali kama mama yake anamakosa au lah na alicho kiandika sasa hiki hapa chini

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Trump asaini agizo la rais dhidi ya mitando ya kijamii baada ya kuzozana na Twitter

Hatua ya rais Trump inafuatia uamuzi wa Twitter wa kuweka alama ya "kuhakiki ukweli" katika ujumbe wake.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu azua gumzo kwenye mtandao baada ya kumuita Diamond "kaka"

Huku macho na masikio ya wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yakiwa kwenye bunge la katiba linalojadili lile sakata la tegeta ESCROW, mwanadada Wema sepetu ameamua naye kuzua gumzo kwenye mtandao baada ya kutoa salamu ya pongezi kwa kijana Naseeb al maarufu kama Chibu dangote ama Diamond platnumz kwa ushindi wake wa tuzo 3 kwenye tuzo za Channel O MUSIC AWARDS zilizofanyika huko Afrika ya kusini akitumia neno KAKA katika sentensi yake kitu ambacho kimezua minong’ono ya hapa na pale...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TIGO YATANGAZA USHIIRIKIANO NA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK JIJINI DAR LEO.

 Mkuu wa idara ya data na vifaa vinavyotumia intarnet kutoka Tigo, David Zacharia akielezea wateja watakavyotumia huduma hiyo kwa urahisi,mbele ya Wanahabari jijini Dar leo.
 Mkuu wa ukuaji na ushirikiano wa mitandao ya kijamii kutoka Tigo, Naheed Hirji, akielezea upatikanaji wa huduma hiyo.Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla hiyo.

KAMPUNI ya mtandao wa Tigo, imetangaza rasmi ushirikiano kati yao na mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo itatoa ofa ya Intaneti itakayotumiwa...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SAKATA LA ESCROW: TIBAIJUKA ANASWA PEKUPEKU

Na Mwandishi Wetu/Amani
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyeondolewa ofisini hivi karibuni kutokana na sakata la Tegeta Escrow, Anna Tibaijuka, hivi karibuni amenaswa akiwatembelea watu wanaosadikiwa kuwa wapiga kura wake jimboni Muleba mkoani Bukoba akiwa pekupeku. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof.Anna Tibaijuka akipekua jimboni Muleba mkoani Bukoba. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, vikiwemo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghasia kwenye kura ya maamuzi Misri

Wafuasi wa Rais aliyeondolewa mamlakani Mohammed Morsi walizua vurugu na hata kusababisha vifo kadhaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Baada ya kufukuzwa, Zitto aigawa mitandao ya kijamii

Mitandao ya kijamii imeanza kuchukua nafasi na hata kuwa sehemu ya maisha ya kawaida, watumiaji wake hupata taarifa mbalimbali na pia nafasi ya kuanzisha mijadala motomoto.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Liverpool kujishauri kumsajili Alexandre Pato, haya ndio maamuzi yaliofanywa na klabu yake …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil ambaye amewahi kuichezea klabu ya AC Milan ya Italia Alexandre Pato alikuwa katika mipango ya Liverpool ya Uingereza kwa muda mrefu, lakini uhamisho wake ulikuwa unatajwa kukamilishwa January. Pato yupo katika klabu ya Corinthians baada ya kuondoka AC Milan mwaka 2013. Baada ya Liverpool kujishauri kumsajili Alexandre Pato, licha ya kuwa waliwahi kutuma ofa […]

The post Baada ya Liverpool kujishauri kumsajili Alexandre Pato, haya ndio maamuzi yaliofanywa...

 

9 years ago

Michuzi

NGO YA TANZANIA Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) ni kati ya Asasi 21 ambazo jana ( jumatatu) zimetangawa kuwa washindi wa Tuzo ya Ikweta (Equator Prize ) kwa mwaka 2015 Tuzo hiyo ya Ikwete hutolewa na Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaofadhili tuzo hiyo. Kila NGO iliyoshinda Tuzo hiyo inanyakua kitita cha dola 10,000 za Kimarekani. Ushindi wa MJUMITA pamoja na NGO nyingine 20...

 

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani