Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwamunyange: Tutaimarisha ulinzi wa mipaka

Mkuu wa Majeshi nchini, Davis Mwamunyange.MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange amewatoa wasiwasi Watanzania na kusema kuwa jeshi liko macho katika kulinda mipaka yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA ZA MISHENI ZA ULINZI WA AMANI ZIWE WAZI-JENERALI MWAMUNYANGE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa katika ukumbi wa Baraza la Uchumi la Umoja wa Mataifa maarufu kama ECOSOC ambapo ndipo ulipofanyika mkutano wa kihistoria wa Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Maafisa wa ngazi za juu kutoka nchi zinazochangia katika Operesheni za Ulinzi wa Amani chini ya Umoja wa Mataifa. Akichangia majadiliano ya mkutano huo. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi amelishauri Baraza Kuu la Usalama na UN kuweka bayana na kwa uwazi mamlaka ya misheni ...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA ZINAZOHUSU OPERESHENI ZA ULINZI WA AMANI ZIWE WAZI- JENERALI MWAMUNYANGE

Na Mwandishi Maalum, New York Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange, amelishauri Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, kuweka bayana na kwa uwazi mamlaka ( mandate) ambayo misheni ya kulinda Amani itapaswa kutelekeza kule inakopangiwa kwenda.  Ametoa ushauri huu siku ya Alhamisi wakati alipokuwa akitoa mchango wake kwenye mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi ambao nchi zao zinachangia katika operesheni za ulinzi wa Amani za...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za miaka 10 ya chuo cha JKT mapinga

  Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa anakata utepe kuashiria uzinduzi rasimi wa uwanja  uliopewa jina la Jenerali Davisi Mwamunyange  ambao utatumika kwa shughuli mabalimbali ikiwemo gwaride kulia ni Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga na kushoto ni Mkuu wa chuo cha JKT Mapinga Meja Aristides Rutta sherehe hizo ziliambatana na kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa kwa chuo cha JKT Mapinga  kilichopo jijini Dar es salaam  Mkuu wa majeshi ya ulinzi Jenerali Devisi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA FORODHA NA ULINZI WA MIPAKA WA MAREKANI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akizungumza na Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia masuala ya ushirikiano wa shughuli za kiulinzi kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Marekani hapa nchini Bi. Virginia Blaser. Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske (kulia), akifafanua...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mwamunyange, Mwema wajiuzulu’

Mkuu wa Majeshi Nchini, Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema nao wametakiwa kujiuzulu kutokana na uozo uliobainika katika ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyosababisha Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri wake wanne.

 

10 years ago

Mwananchi

Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Devis Mwamunyange amesema katika kuendeleza juhudi za Serikali juu ya kuboresha mafunzo ya JKT nchini, wakufunzi wa mafunzo hayo wanapaswa kufuata maadili ya taaluma yao katika utekelezaji wa majukumu waliyokabidhiwa na jeshi hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwema, Mwamunyange watakiwa kujiuzulu

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Saidi Mwema, na Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Davis Mamunyange, wametakiwa kujiuzulu baada ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira...

 

10 years ago

Habarileo

Mwamunyange: Rais Kikwete ni shupavu

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) akikagua moja ya mabweni matano mapya ya kikosi cha JKT Mafinga jana. (Picha na Frank Leonard).MKUU wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange amemsifu Rais Jakaya Kikwete akisema ni shupavu, huku akiwataka vijana waogope kupotoshwa kimawazo na kifikra ili wawe wazalendo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kumzushia Mwamunyange

Sheria ya Mtandao imeanza kufanya kazi baada ya mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Benedict Angello Ngonyani kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shtaka la matumizi mabaya ya mtandao kwa kusambaza taarifa za uongo kupitia WhatsApp na Facebook kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Jenerali Davis Mwamunyange amelishwa sumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani