Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwema, Mwamunyange watakiwa kujiuzulu

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Saidi Mwema, na Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Davis Mamunyange, wametakiwa kujiuzulu baada ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Mwamunyange, Mwema wajiuzulu’

Mkuu wa Majeshi Nchini, Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema nao wametakiwa kujiuzulu kutokana na uozo uliobainika katika ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyosababisha Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri wake wanne.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwema, Mwamunyange mikononi mwa Kikwete

WAKATI shinikizo la kumtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kujiuzulu ama awajibishwe kutokana na kashfa ya ukatili mauaji dhidi ya wananchi wakati wa Operesheni Tokomeza Ujangili likizidi kushika kasi, vumbi jipya...

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi Chadema, CUF, NCCR watakiwa kujiuzulu

WANACHAMA wa vyama vya siasa vya upinzani kikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR-Mageuzi na Chama cha Wananchi-CUF, wametakiwa kuwashurutisha viongozi wao wa kitaifa wajiuzulu mara moja kwa kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Devis Mwamunyange amesema katika kuendeleza juhudi za Serikali juu ya kuboresha mafunzo ya JKT nchini, wakufunzi wa mafunzo hayo wanapaswa kufuata maadili ya taaluma yao katika utekelezaji wa majukumu waliyokabidhiwa na jeshi hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kumzushia Mwamunyange

Sheria ya Mtandao imeanza kufanya kazi baada ya mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Benedict Angello Ngonyani kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shtaka la matumizi mabaya ya mtandao kwa kusambaza taarifa za uongo kupitia WhatsApp na Facebook kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Jenerali Davis Mwamunyange amelishwa sumu.

 

10 years ago

Habarileo

Mwamunyange: Rais Kikwete ni shupavu

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) akikagua moja ya mabweni matano mapya ya kikosi cha JKT Mafinga jana. (Picha na Frank Leonard).MKUU wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange amemsifu Rais Jakaya Kikwete akisema ni shupavu, huku akiwataka vijana waogope kupotoshwa kimawazo na kifikra ili wawe wazalendo.

 

10 years ago

Habarileo

Mwamunyange: Tutaimarisha ulinzi wa mipaka

Mkuu wa Majeshi nchini, Davis Mwamunyange.MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange amewatoa wasiwasi Watanzania na kusema kuwa jeshi liko macho katika kulinda mipaka yake.

 

9 years ago

Vijimambo

Jenerali Mwamunyange sasa aibukia Ngerengere.

\Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, (pichani) ameibukia katika Kamandi ya Anga Kizuka iliyopo Ngerengere, mkoani Morogoro wakati Rais Jakaya Kikwete, akizindua uwanja wa Ndege wa Kamandi hiyo.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Kikwete alisema kuwa katika miaka 10 ya uongozi wake, amefanya mambo mengi kwa Watanzania pamoja na kuliacha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likiwa katika hali nzuri ya kiutendaji.
Alisema hakuna nchi inayoweza kupata maendeleo...

 

9 years ago

Michuzi

MZUSHAJI SMS NYINGINE YA MWAMUNYANGE KIZIMBANI

Na Mwene Said wa blogu ya jamii, Dar es Salaam.George Aloyce Kimaryo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa zauongo kupitia katika kundi la Adios la mtandao wa WhatsApp  kuwa Mwanafunzi  wa Chuo cha DIT,  Benedict Angello  Ngonyani amejitokeza  kwa mara ya pili mahakamani na kuishangaza kwa kumtaka Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange ajitokeze na kukanusha kuwa amelishwa sumu.
Wakili wa Serikali  Jaquline Nyantori...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani