MZUSHAJI SMS NYINGINE YA MWAMUNYANGE KIZIMBANI
Na Mwene Said wa blogu ya jamii, Dar es Salaam.George Aloyce Kimaryo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa zauongo kupitia katika kundi la Adios la mtandao wa WhatsApp kuwa Mwanafunzi wa Chuo cha DIT, Benedict Angello Ngonyani amejitokeza kwa mara ya pili mahakamani na kuishangaza kwa kumtaka Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange ajitokeze na kukanusha kuwa amelishwa sumu.
Wakili wa Serikali Jaquline Nyantori...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Dec
‘Mwamunyange, Mwema wajiuzulu’
11 years ago
BBC
10 years ago
Habarileo12 Nov
Mwamunyange: Rais Kikwete ni shupavu
MKUU wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange amemsifu Rais Jakaya Kikwete akisema ni shupavu, huku akiwataka vijana waogope kupotoshwa kimawazo na kifikra ili wawe wazalendo.
10 years ago
Habarileo05 Dec
Sms wakati wa uchaguzi kuchujwa
KATIKA kuhakikisha uchochezi unaoweza kuvuruga amani ya nchi unadhibitiwa wakati wa uchaguzi, Serikali imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuja na mwongozo wa kampuni za simu katika kudhibiti ujumbe mfupi kwa njia ya simu.
11 years ago
Mwananchi14 Sep
Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi
11 years ago
BBCSwahili14 May
Vifaa vinavyoendeshwa kwa SMS
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Kortini kwa kumzushia Mwamunyange
10 years ago
Michuzi
NBC LAUNCHES SMS ALERT


Dar es Salaam, 8thSeptember 2015NBC has today launched SMS alert service that enables NBC customers to receive instant SMS notifications on their registered mobile phone numbers of transactions carried out on their accounts. The SMS notifications enable NBC customers to instantly keep track of transactions happening on their accounts.
“In addition, this service will allow our customers to identify if their accounts have carried...
10 years ago
Habarileo11 Mar
Mwamunyange: Tutaimarisha ulinzi wa mipaka
MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange amewatoa wasiwasi Watanzania na kusema kuwa jeshi liko macho katika kulinda mipaka yake.