Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwana Fa: Kulalalala kunanipa akili

MWANAFANA RHOBI CHACHA
MWANAMUZIKI Hamis Mwinyijuma ‘Mwana FA’ amethibitisha kwamba amelazimika kununua kitanda kidogo kwa ajili ya kulalia kila anapohisi hali ya usingizi bila kujali muda.
Mwana Fa alijieleza hivyo baada ya mwandishi wa habari hii kumshtukia akiwa anasinzia mara kwa mara katika mikusanyiko ya watu.
Mwana Fa alidai tabia hiyo ya kulala mara kwa mara humsaidia kupumzisha akili yake katika utungaji wa nyimbo zake.
“Si utani ‘best’ yaani mie napenda kweli kulala na ndiyo maana...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray

"(FREEDOM OF SPEECH)

Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)

Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tunapoua akili asilia na kukimbilia akili bandia

“...Zamani tulifundishwa mbinu za kudhibiti malaria kuwa ni kuua mazalia ya mbu ili mbu wasiwepo; leo watoto wetu wanapotoshwa kuwa mbinu ya kudhibiti malaria ni kutumia chandarua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maradhi ya akili ni kero TZ

Tanzania, inasemekana kukabiliwa na uhaba wa wataalamu wa kuhudumia wagonjwa wa akili kutokana na idadi ya wagonjwa wenyewe

 

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti wa matatizo ya akili

Watafiti nchini Uingereza wanasema, kuongezeka kwa vitendo viovu, kunaweza kuwa dalili za mwanzo za matatizo ya akili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Teknolojia yakuza akili za watoto

Watoto wana uelewa mkubwa wa kiteknoljia kuliko watu wazima

 

11 years ago

Habarileo

‘Wanaotukana waasisi wapimwe akili’

Anna AbdallahMJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah amesema mtu yeyote anayewatukana waasisi wa Taifa, anapaswa kupimwa akili.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unajua maana ya akili?

Siku moja niliwakuta walimu watatu wakibishana kuhusu uwezo wa wanafunzi wao. Mmoja alisema John ana akili zaidi kuliko Ali.

 

9 years ago

GPL

KAMPENI ZAMBADILISHA AKILI JOHARI

Sta wa sinema za kibongo, Blandina Chagula maarufu kama Johari. MAYASA MARIWATA BLANDINA Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni mmoja wa wasanii wanaozunguka nchi nzima kuipigia kampeni CCM katika uchaguzi mkuu, amesema baada ya kutembea na kufanya kazi, amejikuta akiihamishia akili yake katika siasa. “Kuna wakati nilikuwa naafikiana na yale madai kuwa serikali haijafanya lolote, lakini baada ya kuzunguka katika mikoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumbe waongo ni wagonjwa wa akili?

Katika mihangaiko yangu ya kila siku nimekutana na watu waongo, yaani wanapenda kudanganya kiasi kwamba hata wao wenyewe huwa wanajiongopea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani