Mwanamke aliyetekwa nyara Kenya aokolewa
Mwanamke aliyetekwa nyara katika eneo la Dadaab, kaskazini mashariki mwa Kenya siku chache zilizopita ameokolewa na wanajeshi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Miss Honduras 2014 aliyetekwa nyara, akutwa amekufa
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Mwanamke wa UAE aishtaki Kenya
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Polisi amvua mwanamke nguo Kenya
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Matatani kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
10 years ago
Habarileo06 Sep
Mwanamke Mtanzania 'adaka' Kenya kwa 'unga’
MWANAMKE raia wa Tanzania, Joyce Mhonja Mosendi (38) anashikiliwa na Polisi kituo cha Isebania Wilaya ya Kurya West nchini Kenya akituhumiwa kukutwa na unga uliokuwa umepakiwa katika pakiti zaidi ya kumi na kuwekwa kwenye ndoo ya plastiki uliovushwa kwa pikipiki kuingia nchini humo kutoka Sirari, upande wa Tanzania.
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
100 wakamatwa kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Mgombea ubunge ‘aliyetekwa’ ahamishiwa Muhimbili
10 years ago
Habarileo12 Jan
Albino aliyetekwa aumiza kichwa cha RC
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amesema leo atakuwa na mkutano utakaompa hali halisi ya utekelezaji wa agizo alilotoa la kutafutwa kwa mtoto wenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndamiwilayani, Kwimba mkoani hapa.
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Familia ya aliyetekwa walia na polisi, watekaji