Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi awataka Mzinga kuzalisha kisasa

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Husein Mwinyi amelishauri Shirika la Mzinga kuzalisha bidhaa zake kulingana na mabadiliko ya teknolojia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA POLISI KUACHA KUZALISHA MAHABUSU MAGEREZANI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia aina ya makosa ya watuhumiwa ambayo yana dhaminika ili kupunguza mlundikano wa mahabusu Magerezani.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza na baadaye kuzungumza na Maafisa na Askari wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma, leo, Simbachawene alisema Jeshi hilo linakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya mahabusu ukilinganisha na wafungwa waliopo...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kutumia teknolojia mpya na za kisasa kuzalisha mazao na sekta nzima ya kilimo

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge akifungua rasmi Kongamano la ukuaji wa uchumi unaohimili mabadiliko ya Tabia Nchi  kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal,itakayofanyika kwa muda wa  siku mbili katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto), akizungumza na...

 

11 years ago

Daily News

Girl drowns in river Mzinga


Girl drowns in river Mzinga
Daily News
A TEN year old daughter identified as Mintuni Maliyatabu was found dead and his body floating in Mzinga river at Kimbangulile Mchikichini area in Temeke municipality over the week end, police have confirmed. The Temeke Regional Police Commander ...

 

9 years ago

Michuzi

mzinga: Daladala laingia mtaroni

Kamera yetu, leo imeinasa taswira hii ya Daladala likiwa limepiga mweleka na kuingia mtaroni, lilipokuwa likijarimu kulikwepa gari lingine lililokuwa likipita eneo hilo la Mbagala Charambe, Jijini Dar, Hakuna aliejeruhiwa katika ajali hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi daraja la Mzinga kitendawili

DARAJA la Mto Mzinga eneo la Kivule, Dar es Salaam, huenda likashindwa kukamilika hivi karibuni kutokana na kukosekana kwa fedha zilizopangwa kulikamilisha. Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

MZINGA: GARI YA SERIKALI YA YAPARAMIA UKUTA JIONI HII

 Gari ya Serikali aina ya Toyota Land Cruser yenye namba za Usajili STK 7278, ikiwa imeparamia ukuta wa Shule ya msingi Al Muntazir iliyopo kwenye makutano ya barabara ya Sea View na Barack Obama Drive,jijini Dar es salaam,mara baada ya dereva wake (jina kapuni) kushindwa kulimudu gari hilo pale alipochomekewa na gari nyingine ambayo iliingia mitini.ajali hii imetokea jioni ya leo,wakati gari hili likiwa linatokea mjini kuelekea Palm Beach.hakuna aliejeruhiwa katika ajali hii.Wafanyakazi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mzinga watokea kwenye makutano ya Shule ya Msingi Oysterbay

 Wasamalia wema wakifanya utaratibu wa kumuokoa Dereva wa Gari aina ya Isuzu Trooper iliyopiga mweleka katika makutano ya Shule ya Msingi Oysterbay,mara baada ya kugongana na gari nyingine aina ya Toyota Vitz iliyokuwa ikitokea upande wa Coco Beach jijini Dar mchana wa leo na kupekea dereva wa Gari hii (alikuwa ni Mama mtu mzima ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja) kuumia sehemu ya kiuno na mkono.Gari hii ilikuwa inatokea upande wa St. Peter's kuelekea Morogoro Store na Vitz...

 

9 years ago

Michuzi

MAFANIKIO YA SHIRIKA LA MZINGA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Kwa kifupi Shirika limeitikia wito wa Serikali wa kuhakikisha mashirika yanayopokea ruzuku toka Serikalini yanajijengea uwezo wa kujitegemea kwa kupunguza utegemezi serikalini. Pia mashirika ya aina hiyo yanawajibika kuendesha tafiti na kuendeleza teknolojia za gharama nafuu zinazolengwa kuwasaidia watanzania kujijengea uwezo wa kujikwamua kiuchumi.Katika kipindi cha miaka 10 ya Serikali ya awamu ya nne Shirika la Mzinga limefanya yafuatayo:-


1.  Uzalishaji wa Baruti

Shirika limezalisha baruti...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini leo April 24, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chungh...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani