Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE HUKO CLEVELAND OHIO AMPA KIBANO JIRANI YAKE BAADA YAKUSAIDIA KUMWONDOLEA THELUJI

Kijana mmoja huko Cleveland jimbo la Ohio alijikuta wakati mgumu baada ya kukunjwa na jirani yake ambaye ni mzee anayekadiriwa kufikia umri wa miaka 80. Kijana huyo alikua akisaidia kumwondolea theluji iliyokua imezunguka nyumba yake na kuziba njia ya kutembelea kwa miguu na alifanya hivyo kwa lengo la kumsaidia mzee huyo ili aweze kumrahisishia upitaji wa miguu iwapo atahitaji kufanya hivyo.
Mzee huyo baadae alipofuatwa na vyombo vya habari kuulizwa ni kwanini amefanya hivyo wakati kijana...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

QPR yashushwa daraja baada ya kibano

Klabu ya QPR imeshushwa dara kutoka ligi kuu ya Uingereza baada ya kucharazwa mabao sita bila na Manchester City.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAISHIO NEW YORK NA MIJI JIRANI WASHIKAMANA NA KUMZIKA MZEE ALFRED MAGEGE


Mzee Magege  apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kwa ushirikiano wa jumuiya ya Watanzania waishio New York na miji ya jirani. Sala ya kumuombea mzee magege na kuaga mwili wake vyote vilifanyika Victory Seventh-Day Adventist Church Bronx. Ny. na kisha kumsindikiza kwenye nyumba yake ya milele huko Mount Prospect Cemetery Neptune City. Nj.
 Mwili wa mzee Magege ukiwa ndani ya jeneza tayari kwa kuifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele. Mke wa marehemu akiwa na watoto wake mbele ya nyumba ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amuua jirani yake kwa rungu, panga

VILIO na simanzi vilitawala katika Kijiji cha Kikavu Chini, Kata ya Machame Kusini wilayani Hai, baada ya Alex Peter kudaiwa kumshambulia jirani yake aliyefahamika kwa jina la Pili Mnyamvua (65)...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kumbaka mtoto wa jirani yake

Mtoto wa miaka (5) mkazi wa Kijiji cha Kabuhima Kata ya Uyovu Wilaya ya Bukombe mkoani Geita amefanyiwa ukatili wa kinyama baada ya kubakwa na jirani yao.

 

10 years ago

Vijimambo

Ngeleja ajimaliza Escrow, Adai hajapokea mgawo peke yake, Naye kigogo Ikulu kula kibano leo.

Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, jana alipanda ‘kizimbani’ mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kujibu malalamiko dhidi yake ya kupokea zaidi ya Sh. milioni 40.4 kutoka kwa mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira, kinyume cha sheria ya maadili na kuliomba baraza hilo kwamba, iwapo litatumia rungu lake kutoa mwongozo wa adhabu, lisianzie kwake, kwani kitendo alichokifanya hufanywa pia na wabunge wengine.

Ngeleja (47), ambaye amewahi pia...

 

9 years ago

Vijimambo

AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE


Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...

 

11 years ago

GPL

BIEBER KULIPA FAINI YA DOLA 80,900 KWA KUMRUSHIA MAYAI JIRANI YAKE

STAA wa muziki wa Pop, Justin Bieber atalipa faini ya dola 80,900, kuhudhuria kozi ya wiki 12 kudhibiti hasira zake na siku tano za kushiriki kazi za kijamii kwa kosa la kumrushia mayai jirani yake. Staa huyo pia atatakiwa kukaa umbali wa yadi 100 kutoka kwa familia hiyo huku akiwa chini ya uangalizi kwa muda wa miaka miwili. Bieber alinaswa na jirani yake akirusha mayai katika nyumba yake mwezi Januari na hukumu yake imetoewa...

 

10 years ago

GPL

MKE AMPA KIPIGO WIFI YAKE

Waandishi wetu
Idd ya nuksi! Wakati watu wakijiandaa kwa mnuso wa Sikukuu ya Idd wikiendi iliyopita, mambo yameenda kombo katika familia ya mwanamke aliyetajwa kwa jina la Ester Mjila anayedaiwa kuwapa kipigo mama mkwe na wifi yake, Mage Sibonike akiwatuhumu kumtafutia mchepuko mumewe. Ester Mjila anayedaiwa kumjeruhi wifi yake. Katika tukio hilo la kutisha lilijiri hivi karibuni maeneo ya Soweto mkoani Mbeya ilidaiwa kwamba,...

 

9 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani