Mzee Mwinyi ahutubia wadau wa Kiswahili Washington DC
![](http://3.bp.blogspot.com/-vVfATLlyzm4/VTmuLhNx1XI/AAAAAAAAIPY/YD55I_RhIvU/s72-c/Snapshot(65).jpg)
Ifuatayo ni hotuba ya Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipohutubia mkutano wa nne wa Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) uliofanyika tarehe 23 Aprili 2015 katika Chuo Kikuu Cha Howard jijini Washington DC
KARIBU
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/gqQt2LK3rIs/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/gqQt2LK3rIs/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Mzee Mwinyi ni mwalimu ‘darasa maalumu la Kiswahili’
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
VIDEO: Hotuba ya Mzee Mwinyi alipokutana na waZanzibar Washington DC
Hii ni Clip fupi ya Hotuba ya Mzee Ali Hassan Mwinyi alipokutana na waZanzibar Washington DC, mwazo Mwenyekiti wa Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) Omar Haji Ally aongea machahe ya kumkaribisha Mzee Mwinyi, katika Chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi na ZADIA Siku ya Jumapili April, 26, 2015, kwenye ukumbi wa Tabeer Hall iliopo Maryland Nchini Marekani.
10 years ago
Vijimambo04 Apr
RAIS JAKAYA KIKWETE AHUTUBIA WILSON CENTER WASHINGTON, DC
Video ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipohutubia Wilson Center
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mwinyi ataka sayansi ifundishwe Kiswahili
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka walimu wa shule za sekondari nchini kutoogopa kufundisha wanafunzi wao masomo ya sayansi kwa lugha ya Kiswahili, kwa kuwa inawezekana na wataelewa.
10 years ago
IPPmedia08 Aug
Teach science in Kiswahili, former president Mwinyi says.
IPPmedia
IPPmedia
Former president Ali Hassan Mwinyi yesterday called for Kiswahili to be adopted in schools, especially in teaching of science subjects. “Education plays important role in economic development and there is a need to prioritise Kiswahili in the teaching ...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Mwinyi ahamasisha uandishi wa vitabu kwa Kiswahili
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi amewataka wanazuoni kuandika vitabu vingi kwa lugha ya Kiswahili, kuwasaidia Watanzania kuelewa maudhui ya vitabu hivyo pamoja na kuchangia maendeleo ya nchi.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8mV1TZ00rBw/VceAR1ZDXyI/AAAAAAAAIzI/gmDhaqIGyWM/s72-c/2a.jpg)
ALHAJ MWINYI: FUNDISHENI SAYANSI KWA KISWAHILI
![](http://4.bp.blogspot.com/-8mV1TZ00rBw/VceAR1ZDXyI/AAAAAAAAIzI/gmDhaqIGyWM/s640/2a.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-BxvGeVctN9c/VceAQDO-scI/AAAAAAAAIzA/8M5HMUK6v8o/s640/2111111.jpg)
Na Daniel Mbega wa brotherdanny.comRAIS mstaafu wa awamu ya pili,...