Nchi imesheheni miti ya mbao, watoto shuleni wanakaa chini
Kuanzia mwaka 2002 Tanzania ilishuhudia ongezeko la shule za msingi na sekondari, hasa baada ya Serikali kuanza utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya elimu kwa ngazi za msingi na sekondari, maarufu kwa vifupi vya MMEM na MMES.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Kwa nini watoto wetu waendelee kukaa chini shuleni?
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Shule ya Msingi Mpago: Ufaulu mzuri chini ya miti
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Watoto wadaiwa kuibwa shuleni
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Watoto wa maskini ‘weupe’ shuleni
10 years ago
Vijimambo08 Jul
‘WATOTO’ WA DIAMOND WARUDISHWA SHULENI
![](http://api.ning.com/files/o1QX7UF1Vt4T*4ofbENGAVfgFQ0J*XxSfoazlh*iN*2kfqdzzA8F4qxfWVYc3oI5-5v4GIB6lKy*Am4Zve4Wqel1vf5-c-z9/dshule9.jpeg?width=650)
Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha GPL
BAADA ya vuta nikuvute ya wazazi wa wanafunzi, Hilary na Hamis ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar huku akishindwa kuwalipia ada na watoto hao kurudishwa nyumbani, hatimaye wamerejeshwa tena shuleni.
Baada ya gazeti hili kuripoti habari...
5 years ago
Michuzi![](https://3.bp.blogspot.com/-6gULUYkSJoM/XtDZwNpAE3I/AAAAAAAAQvg/iFr-XcnqX8k1IhQmQ-8a1hhuHJksueX2ACK4BGAYYCw/s72-c/IMG-20200529-WA0029%2B%25281%2529.jpg)
WILAYA YA MONDULI YAPOKEA MICHE 500 YA MITI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Vero Ignatus.
Mamlaka ya Misitu wilaya ya Monduli (TFS) imekabidhiwa Miche ya miti zaidi 500 ili kupambana na mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka Mradi wa Tunandoto Tanzania Ulio chini ya Kanisa la FPCT.
Akikabidhi miti hiyo Mkurugenzi wa wilaya hiyo Stephen Ulaya amesema amekabidhi miche hiyo kwa Mamlaka ya Misitu Tanzania (TFS) wilaya ya Monduli ili kuelekeza miche hiyo katika maeneo yenye uhitaji ndani ya wilaya hiyo.
Ulaya amesema miche hiyo ya Miti wamepokea kutoka Mradi wa Tunandoto ulio...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Elimu ya Tehama shuleni; Tujifunze kutoka nchi jirani
9 years ago
Habarileo30 Nov
Watakaoshindwa kupeleka watoto shuleni kukiona
SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule na kusisitiza kila mtoto anapaswa kupewa haki ya kupata elimu itakayoanza kutolewa bure kuanzia Januari.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Shinyanga yaongoza utoro wa watoto shuleni
MKOA wa Shinyanga umetajwa kuongoza kwa kuwa na watoto wengi wasiohudhuria shule ambapo hukimbilia katika uchimbaji wa madini. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...