Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndoa na Shetani-2

ILIPOISHIA:
“Mavazi gani hayo, yaani umbile kama lako ningekuwa nalo mimi kila mtu angenisoma namba. Mungu amekupendelea ili uutangaze uwezo wake wa uumbaji ukilificha, usije shangaa siku moja ukasikia umekuwa mlemavu kwa kushindwa kuvitangaza..kwanza unajijua wewe mzuri?” niliuliza huku akinitazama.

“Nitajijuaje mwenyewe?”
“Ina maana kote ulikosoma hukuwahi kusifiwa?”
SASA ENDELEA…

“Hiyo hali nimeshaizoea.”
“Basi Konso wewe ni mzuri chuo kizima, yaani ningekuwa kama wewe mbona...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 3

ILIPOISHIA:

Maisha yaliendelea, nakumbuka siku moja tukiwa tumelala majira ya saa saba usiku nyumba yetu ilivamiwa na maaskari. Emma Mo pamoja na mimi tulichukuliwa juujuu na kupelekwa polisi usiku huo huo. Kwa upande wangu sikujua tumechukuliwa kwa sababu gani.Kabla ya kutuchukua walifanya upekuzi mzito kitu kilichonishangaza na kujiuliza kuna nini.

SASA ENDELEA…

Tulipofika polisi tulitenganishwa kila mmoja aliwekwa sehemu yake, tulilala pale hadi asubuhi. Kesho yake majira ya saa tano...

 

9 years ago

Global Publishers

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani -01

Nayainua macho juu, nautazama ulimwengu ambapo namuona kila mtu anatembea akiwa na yake mazito moyoni. Wengi aibu imetutawala kutoa yaliyo mioyoni kwa kuhofia aibu tutakayoipata, kwa watu kujua mambo ya aibu yaliyomo mioyoni mwetu.

Wengi tumeanzisha mahusiano na shetani bila kujua na mwisho wake kufunga naye ndoa kabisa na kuamini yote atuelekezayo ndiyo sahihi na kusahau kuna Mungu mwenye nguvu na wivu ambaye anatupenda na alituleta duniani kwa kusudi maalumu la kumuabudu yeye.

Hivyo,...

 

9 years ago

GPL

WEMA AMTAFUTA SHETANI...

Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, anadaiwa kutafuta shetani mwingine wa ugomvi baada ya ‘kumalizana’ na Aunt Ezekiel Grayson na kuanzisha ushosti na mwigizaji, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’, jambo ambalo linawapa wasiwasi mashabiki wao kutokana na dhana iliyojengeka kuwa mrembo huyo (Wema), hawezi kudumu na rafiki kwa kipindi kirefu.   ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MWeRWq ...

 

11 years ago

Habarileo

'Wanaosambaza uongo ni watoto wa shetani'

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Paul Makonda ametumia maandiko matakatifu kuwaita baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni watoto wa shetani, akiwataka wananchi kutowaunga mkono katika mikakati yao ya kile alichodai kutumia uongo kuzuia mchakato wa Katiba mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM ni shetani mzee au kijana?

TUNA vyama 23 venye usajili wa kudumu. Vyama vya upinzani ni 22. Mbona Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahangaika na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)? Fuatilia mfano huu upate jibu....

 

10 years ago

Mtanzania

Vifutio shuleni ni ‘vifaa vya shetani?’

Profesa Guy Claxton anapendekeza kupigwa marufuku kwa vifutio darasaniMwanafunzi akifuta makosaAina mbalimbali za vifutioJOSEPH HIZA NA MASHIRIKA YA HABARI
KICHWA cha habari hapo juu kilicho katika mfumo wa swali kinaweza kukushtua msomaji usipate picha kabla hujasoma maudhui yaliyokizunguka.
Lakini baada ya kuyasoma na kuelewa kusudio lake, hata kama hautakubaliana na ‘jawabu la ndio’ kuhusu swali hilo utakuwa umeshapata picha.
Katika tovuti ya Shirika la Habari la Uingereza (BBC) upande wa habari za elimu kuna habari iliyojengwa chini ya kichwa hicho cha habari yaani; Je, vifutio shuleni ni silaha ya...

 

9 years ago

GPL

ALIENS WAHUSISHWA NA MAAJABU YA PEMBETATU YA SHETANI

Kama nilivyoeleza wiki iliyopita, Bermuda Triangle au Pembetatu ya Shetani ni eneo la uso wa dunia ambalo limekuwa likihusishwa na masuala mbalimbali ya nguvu za kimaajabu. Ni eneo ambalo maelfu ya watu wamepoteza maisha, ndege na meli nyingi zimepotea, pasipo kujulikana zilipokwenda. Bermuda Triangle inapatikana Pwani ya Kusini-Mashariki mwa Marekani na iko katika Bahari ya Atlantiki. SASA ENDELEA… Yapo mataifa yaliyoamua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani