Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni kweli Nyerere kafa kwa huzuni?

WIKI mbili zilizopita niliandika makala iliyobeba kichwa cha habari cha ‘Mandela katuachia fundisho, tutalitekeleza?’ Katika makala hiyo nilijaribu kuyaangalia maisha ya Mandela, hasa baada ya kuanza harakati zake za kuutokomeza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tuseme kweli, tunajidanganya si kumuenzi Mwalimu Nyerere

Ifikapo kesho, yaani Oktoba 14, Tanzania itakuwa imefikisha miaka 15 tangu ilipompoteza mwasisi wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 

10 years ago

Vijimambo

CHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI BAADA YA KUFIWA NA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE

 Marehemu  Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake. Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na hudhuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Kibanike leo jioni. Mwanahabari Celina Mathew akilia kwa uchungu baada ya kupokea taarifa hiyo.
 Ofisa Matangazo, Kinai akiwa amepigwa butwaa kutokana na  kifo hicho. Wanahabari Nyendo Mohamed (katikati), Edith Msuya (kulia) na  Magendela Hamisi wakiwa katika hali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

9 years ago

Mtanzania

Ni huzuni

pic 21*Msaidizi wa IGP afariki dunia kwa mafuriko

NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

GERALD Ryoba ambaye ni Msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Ernest Mangu, amefariki dunia na familia yake baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na mafuriko mkoani Dodoma jana.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime, aliwambia waandishi wa habari jana, kwamba tukio hilo lilitokea eneo la Kibaigwa mjini hapa.

Alisema kwamba, Ryoba na familia yake, walikuwa wakitoka mkoani Geita wakielekea jijini...

 

9 years ago

Habarileo

Vilio, huzuni maziko ya Filikunjombe

SAFARI ya aliyekuwa mbunge mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe, hapa duniani, ilikamilika jana saa 10.30 jioni wakati mwili wake ulipozikwa kwenye makaburi ya Kanisa Katoliki mjini Ludewa, katika jimbo ambalo aliliongoza kwa ufanisi mkubwa kwa miaka mitano iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA INANITIA HUZUNI KILA NIIANGALIAPO

Bernadeta akimpa pole Henry Kente siku ya ibada ya kumbukumbu ya maisha ya marehemu Mr. Wilbard Kente Jumamosi March 21, 2015 Washington, DC.

 

9 years ago

Michuzi

VILIO,HUZUNI MAZIKO YA DEO FILIKUNJOMBE

Marehemu Deo Filikunjombe.

SAFARI ya aliyekuwa mbunge mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe, hapa duniani, ilikamilika jana saa 10.30 jioni wakati mwili wake ulipozikwa kwenye makaburi ya Kanisa Katoliki mjini Ludewa, katika jimbo ambalo aliliongoza kwa ufanisi mkubwa kwa miaka mitano iliyopita.Vilio, huzuni, simanzi vilitawala wakati wa maziko ya mwanasiasa huyo kijana ambaye alizikwa pamoja na wenzake wawili wanaotajwa kwamba walikuwa watu wake wa karibu. Filikunjombe (43)...

 

9 years ago

BBCSwahili

Furaha na huzuni mahujaji wakirejea Tanzania

Tanzania ni mojawapo ya nchi barani Afrika zenye idadi kubwa ya watu ambao bado hawafahamiki walipo baada ya kutokea mkanyagano Mecca, Saudi Arabia. Hadi sasa watu 6 inajulikana walipoteza maisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani