Vilio, huzuni maziko ya Filikunjombe
SAFARI ya aliyekuwa mbunge mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe, hapa duniani, ilikamilika jana saa 10.30 jioni wakati mwili wake ulipozikwa kwenye makaburi ya Kanisa Katoliki mjini Ludewa, katika jimbo ambalo aliliongoza kwa ufanisi mkubwa kwa miaka mitano iliyopita.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi19 Oct
VILIO,HUZUNI MAZIKO YA DEO FILIKUNJOMBE

SAFARI ya aliyekuwa mbunge mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe, hapa duniani, ilikamilika jana saa 10.30 jioni wakati mwili wake ulipozikwa kwenye makaburi ya Kanisa Katoliki mjini Ludewa, katika jimbo ambalo aliliongoza kwa ufanisi mkubwa kwa miaka mitano iliyopita.Vilio, huzuni, simanzi vilitawala wakati wa maziko ya mwanasiasa huyo kijana ambaye alizikwa pamoja na wenzake wawili wanaotajwa kwamba walikuwa watu wake wa karibu. Filikunjombe (43)...
10 years ago
Habarileo17 Oct
Filikunjombe vilio kila kona
MGOMBEA ubunge wa CCM katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, Deo Filikunjombe amekufa katika ajali ya helikopta iliyotokea mkoani Morogoro juzi.
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Ni huzuni
*Msaidizi wa IGP afariki dunia kwa mafuriko
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
GERALD Ryoba ambaye ni Msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Ernest Mangu, amefariki dunia na familia yake baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na mafuriko mkoani Dodoma jana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime, aliwambia waandishi wa habari jana, kwamba tukio hilo lilitokea eneo la Kibaigwa mjini hapa.
Alisema kwamba, Ryoba na familia yake, walikuwa wakitoka mkoani Geita wakielekea jijini...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Ni kweli Nyerere kafa kwa huzuni?
WIKI mbili zilizopita niliandika makala iliyobeba kichwa cha habari cha ‘Mandela katuachia fundisho, tutalitekeleza?’ Katika makala hiyo nilijaribu kuyaangalia maisha ya Mandela, hasa baada ya kuanza harakati zake za kuutokomeza...
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Furaha na huzuni mahujaji wakirejea Tanzania
10 years ago
VijimamboPICHA INANITIA HUZUNI KILA NIIANGALIAPO
10 years ago
Africanjam.Com
ISOME BARUA YA HUZUNI YA PETR CECH KUWAAGA CHELSEA

Baada ya kumwaga wino kujiunga na Arsenal, Cech ameandika barua ya kuwaaga mashabiki wa Chelsea kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote alichokuwa anaitumikia klabu hiyo.Hii hapa ni barua yake….Sikuwahi kufikiria kama ingekuja kutokea sikumoja nitakuja kusema kwaheri kwenye klabu ya Chelsea. Klabu...
11 years ago
GPL
MAISHA YA HUZUNI YA CHOKI BAADA YA KIFO CHA MKEWE!
10 years ago
Mwananchi22 Feb
SIMULIZI: Huzuni, hofu vyatesa familia ya albino aliyetekwa, kuuawa -2