Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI

Stori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo. Mwanadada kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ Nisha aliyasema hayo kufuatia hivi karibuni kuzagaa kwa tetesi kuwa alizomewa na wasanii wenzake wakimwita mchawi kutokana na mafanikio aliyoyapata kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zitto awatolea uvivu wanaomwita kibaraka wa CCM

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kama angekuwa ni msaliti na kibaraka wa Chama cha Mapinduzi (CCM), asingeweza kuongoza mapambano ya kuwang’oa mawaziri 13 kwa miaka mitatu katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

GPL

WOLPER AWABWATUKIA WANAOMSEMA

Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper. STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amewabwatukia baadhi ya watu wanaomsema kuwa kafulia na kudai hawajitambui na wanapenda kuzungumza vitu ambavyo hawana uhakika navyo. Akizungumza na mwandishi wetu, Wolper alisema anashangazwa na watu ambao wanaojifanya ni watabiri wa maisha yake wakati hakuna hata mmoja ambaye anajua ni wapi alipotokea, wanamzushia na kumuandika...

 

10 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AWABWATUKIA BONGO MOVIE

Na GLADNESS MALLYA RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba amewabwatukia wasanii wanaodai  shirikisho hilo limeanguka baada ya baadhi yao kujiunga na Bongo Movie Unity. RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba.
Akizungumza kwa hisia kali na gazeti hili, Mwakifwamba alisema, TAFF ni taasisi kubwa na ipo kwa ajili ya kushughulikia mambo yenye tija kwenye...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AWABWATUKIA WAKWE ZAKE

Stori: Musa mateja
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ameonesha upande wake wa pili baada ya kuwabwatukia wakwe zake aliposikia kuwa wana mpango wa kumpa talaka ili aachane na mumewe Sunday Demonte kutokana na tabia yake kwa kuwa siyo mwanamke wa kuoa (wife material). Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman. Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati jijini Dar, Aunt alidai kuwa alikerwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Rage: Tusitafute mchawi

>Baada ya kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Mgambo Shooting mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage ametaka wanachama wake asitafute mchawi kwa vile kiwango cha timu yao ni kibovu.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba wamsaka ‘mchawi’

Siku moja baada ya Simba kunyukwa mabao 3-2 na JKT Ruvu, hali si shwari ndani ya klabu hiyo baada ya wachezaji kumwangushia lawama kocha wao Zdravok Logarusic, huku wengine wakiuangushia lawama uongozi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Adebayor adai mamaake ni mchawi

Mshambuliaji wa Totenham Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake.

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-34

ILIPOISHIA IJUMAA:
“Amejifungua salama?”
“Amejifungua salama.”
“Ni sasa hivi au ni muda uleule mliofika?”

“Tulipofika hakukaa sana, akaingizwa kizimbani.”
“Kuna kipindi nilipiga simu lakini haikupokelewa.”
“Nilikuwa nikishughulika na yeye.”
“Sawa, basi nitakuja kuwaona.”
SASA ENDELEA…

Muda wangu wa kutoka kazini ulipowadia niliondoka ofisini kwangu, dereva wangu akanirudisha nyumbani. Nilioga, nikabadili nguo na kutoka tena, sasa kwa kutumia gari binafsi.

Nilikwenda hospitalini alikojifungua...

 

10 years ago

GPL

UNGO WA MCHAWI WAZUA KIZAAZAA!

Dustan Shekidele, Morogoro
NI mshangao! Katika hali isiyotarajiwa, ungo wenye vifaa vya kichawi umekutwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro na kuzua kizaazaa kikubwa. Ungo wenye vifaa vya kichawi ukiwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro. Tukio hilo la aina yake lilijiri saa 12  asubuhi, Jumatano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani