Nyanza wawazawadia washindi wa runinga
KAMPUNI ya vinywaji baridi ya Coca-Cola Nyanza imekabidhi runinga mpya inchi 32 kwa washindi saba wa shindano la ‘Jionee Mwenyewe Kombe la Fifa la Dunia’ katika hafla iliyofanyika kwenye kiwanda...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jfhY-uMyUa4/Xuw2fWWelTI/AAAAAAALug8/HUQzAHpHp5EdN_OqNkSE8C8FWpjnK3h3QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-18%2Bat%2B6.11.44%2BPM.jpeg)
SERIKALI YATANGAZA WASHINDI WA MAKISATU, WASHINDI WA KWANZA KUJINYAKULIA KITITA CHA SH MILIONI TANO
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imetangaza washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwa Mwaka 2020 ambayo kilele chake kilifanyika Machi 16-18 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma na mshindi wa kwanza kujinyakulia kitita cha Sh Milioni Tano.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo wakati wa kutangaza washindi hao kutoka kada mbalimbali pamoja na zawadi watakazopata, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Bonite yamwaga runinga 41, tiketi ya Brazil
KAMPUNI ya vinywaji baridi jamii ya Coca-Cola, Bonite imekabidhi runinga mpya 41 aina ya Sony Led inchi 32 na tiketi moja ya kwenda kushuhudia ‘live’ mchezo wa fainali za Kombe...
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Runinga 3 Kenya zimezima matangazo yao
10 years ago
BBCSwahili15 Feb
Runinga zilizojizima Kenya kupigwa faini
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Tangazo la Twitter kwenye runinga lakanganya
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Runinga yatafuta msichana wa kuigiza Nicki Minaj
9 years ago
Bongo531 Dec
Mzee Chilo adai runinga zilisababisha kupotea tamthilia za nyumbani
![Mzee Chilo akizungumza jambo na watoto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Mzee-Chilo-akizungumza-jambo-na-watoto1-300x194.jpg)
Msanii wa filamu, Mzee Chilo amedai wamiliki wa runinga nchini ndio waliosababisha kupotea kwa tamthilia za nyumbani kwa kuzikwepa na kuonesha za kigeni.
Muigizaji huyo ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Pilipili Entertainment, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imesababisha wazalishaji wa filamu nchini kukaa na kazi zao ndani bila kuwa na sehemu za kuzipeleka.
“Kilichopoteza tamthilia zetu ni runinga zetu, wakawa wanaamua kuonesha tamthilia za kigeni sijui kwao ndio zilikuwa rahisi?” amesema...
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Utafiti: Watoto wanaoangalia runinga mara nyingi wanaweza kuharibu ubongo
9 years ago
VijimamboVIPINDI VYA MAMA MISITU UPANDE WA RUNINGA VYAZINDULIWA LEO JIJINI DAR