Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ODAMA: NAANZAANZAJE KUMFICHA BWANA’NGU?

Stori: Rhoda josiah
Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekanusha tuhuma ya kumficha mwandani wake na kufunguka kuwa, marafiki na familia yake wanamjua hivyo haoni sababu ya kumfanya kila mtu amjue. Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Odama alikuwa akizungumzia madai ya kumficha mwanaume aliyezaa naye huku baadhi wakisema,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ODAMA AZIDI KUMFICHA BABA WA MTOTO!

Imelda Mtema STAA anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefungua kinywa chake kuwa watu wanaosubiri amnadi baba watoto wake watakuwa wamechelewa sana kwani hana mpango huo kwa sasa. Staa anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akichonga na Amani Odama alisema, kila kitu katika maisha kina mpangilio wake hivyo wakati utakapofika atamtambulisha...

 

11 years ago

GPL

LULU: OLE WAKE MTU AMFUATE BWANA’NGU

Stori: Gladness Mallya YELEUUWI! Msanii asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewatemea cheche wanaomnyemelea mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Amani, akiwataka waache mara moja kwani akiwagundua atawatembezea kichapo. Aunty Lulu. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa hana uhakika kama ni kweli...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.


Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.




 

10 years ago

Mwananchi

Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa

>Siku moja baada ya kufukuzwa  uwaziri, Mbunge wa Muleba Kusini (CCM),  Profesa Anna Tibaijuka amewasili jimboni kwake na kusema, “Bwana alitoa na Bwana ametwaa.”

 

10 years ago

GPL

WEMA: MAMA’NGU AMEPOTEZA UWEZO WA KUONA KWA 75%!

Mwandishi Wetu Pole sana mama! Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa mama yake mzazi, Miriam Sepetu anasumbuliwa na macho ambapo madaktari wamegundua kwamba amepoteza uwezo wa kuona kwa asilimia sabini na tano (75%). Kwa mujibu wa Wema, aliamua kumpeleka mzazi wake huyo hospitalini (hakuitaja) ndipo alipohakikishiwa tatizo hilo ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda mrefu....

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA KUMFICHA MWANAYE

Stori: Mayasa mariwata na Hamida hassan/Risasi Mchanganyiko
MSANII nyota wa miondoko ya Mduara, Snura Mushi aliyekuwa kimya kwa muda mrefu kufuatia kuwa na ujauzito, amerejea jijini Dar akitokea Mbeya alikojifungua mtoto wa kiume, lakini kukiwa na madai kwamba anamficha mwanaye asionekane kwa watu. Msanii nyota wa miondoko ya Mduara, Snura Mushi. “Namshangaa sana huyu mwenzetu sijui anachomfichia huyo mtoto ni kitu...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AELEZA SABABU YA KUMFICHA MWANAYE

Chande Abdallah Msanii wa filamu ambaye amejipatia hadhi ya kuitwa mama baada ya kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la Cookie la Princessa, Aunt Ezekiel, amefunguka sababu ya kumficha sura mwanaye ambaye tangu amezaliwa sura yake hajaiweka wazi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1GnDv9E

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo 10 ambayo mwanamke hapaswi kumficha daktari

Kwa kawaida, mgonjwa anatakiwa kumwambia daktari ukweli kuhusu matatizo yake yote ya kiafya ili aweze kusaidiwa kupata tiba sahihi. Daktari naye kwa upande wake, hana budi kuwa mkweli kwa mgonjwa, japokuwa kuna wakati madaktari hujikuta katika wakati mgumu kuwaambia wagonjwa wao mambo ambayo wanahisi kuwa yatawasababishia hofu, kihoro, huzuni, kukata tamaa na kupoteza matumaini.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12

IMG_1239

Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani