Parimatch yafanya maboresho, yaja kibabe na mfumo mpya
![](https://1.bp.blogspot.com/-zrhD-iWoNww/XrUcElozVTI/AAAAAAALpdk/5RZluMF7s-EBk4-9dqGbe2biNoB2Xm9LgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200508-WA0010.jpg)
Na Zainab Nyamka, Michuzi TV
Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja wao na watanzania kiujumla wanaopenda kubashiri kujumuika pamoja.
Wateja wa Parimatch watacheza kwa pamoja michezo yote ya Simulated Reality League, E-Sports, masumbwi na soka ambayo inatarajiwa kurejea Mei 16 ikianza na Ligi ya Ujerumani ‘Bundesliga,’ kwa kutumia intaneti kidogo.
Hayo yamesemwa na Meneja Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Apr
Sekretarieti ya ajira yaja na mfumo mpya wa maombi ya kazi
SEKRETARIETI ya ajira katika Utumishi wa Umma inatarajia kuzindua mfumo mpya wa utumaji na upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya mtandao kupitia ‘Recruitment Portal’ hivi karibuni baada ya hatua za majaribio ya mfumo huo kuonesha mafanikio.
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
Huduma ya Tigo Pesa yarejea baada ya maboresho makubwa ya mfumo
Huduma ya kifedha ya simu za mkononi nchini Tigo Pesa imerejesha huduma zake baada ya kusitishwa kwa muda mwishoni mwa wiki ili kufanya majaribio ya mfumo wa huduma ulioboreshwa.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kampuni leo jijini Dar es Salaam ilisema huduma ya Tigo Pesa ilirejea tena siku ya Jumapili alasiri baada ya kuzimwa kwa muda wa masaa 17 kuanzia Jumamosi saa mbili usiku.
Sehemu ya taarifa ilisomeka kwamba: “Tunafuraha kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma ya Tigo Pesa...
10 years ago
Habarileo08 Apr
Tanesco yaja na Luku mpya
Shirika la Umeme nchini (TANESCO) linatarajia kubadilisha mfumo wa huduma ya Lipia Umeme Kadri Utumiavyo (Luku) na kuuweka wa kisasa ili kuwaondolea usumbufu wateja wake.
10 years ago
Habarileo30 Sep
Teknolojia mpya ujenzi wa ghorofa yaja
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) una mpango wa kutumia teknolojia mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa siku moja lengo likiwa ni kuisaidia Serikali katika kupunguza uhitaji wa nyumba pamoja na kupunguza gharama za ujenzi.
10 years ago
Habarileo08 Nov
Sheria mpya kudhibiti dawa za kulevya yaja
SERIKALI imetunga Sheria mpya kali zaidi itakayoondoa changamoto zilizokuwa zikijitokeza wakati wa matumizi ya Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Namba 9 ya mwaka 1995 inayotumika sasa.
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
MAZUA Smart Shavers yaja na muonekano mpya
Muonekano mpya wa nje wa MAZUA Smart Shavers iliyopo maeneo ya KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi).
Haya sasa kwa wakazi wa UBUNGO,,,,,,,KIMARA,,,,,,,MBEZI LUIS,,,,,,,,KIBAMBA,,,,,,,,,,KIBAHA na maeneo mengine yoote ya jiji la Dar es Salaam….sasa hakuna haja tena ya kuhangaika na foleni kwenda mjini kunyolewa ama KUPAMBA MAHARUSI wa kiume, Sasa mmesogezewa huduma nyumbani……ni MAZUA SMART SHAVERS✔️ iliyokuja na muonekano mpya inapatikana eneo la KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi) ukiwa...
10 years ago
Habarileo13 Aug
Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja nchini
JITIHADA za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya mifugo na ufugaji nchini, zimepata msukumo mpya kufuatia uamuzi wa kujengwa kwa maabara ya kisasa kabisa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe inayojulikana kama embryo transfer.
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI inatarajiwa kujenga maabara ya kisasa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe (embryo transfer).
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilisema jana kuwa maabara hiyo ya kisasa itajengwa katika Ranchi ya Mzeli mkoani Tanga na kampuni ya Overland Livestock Multiplication Unit and Embryo Transfer kwa kutumia teknolojia kutoka New Zealand na kwa kushirikiana na Kampuni ya Taifa ya Ranchi...
10 years ago
Habarileo09 Feb
Sheria mpya ya vibali vya ajira yaja
WIZARA ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.
Waziri katika wizara hiyo, Gaudentia Kabaka aliliambia Bunge kuwa sheria hiyo itatoa mwongozo juu ya utoaji vibali, kwani sasa kumekuwa na sehemu nyingi hivyo kuwa na sehemu moja pamoja na adhabu kwa wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.
Alisema mchakato huo uko...