Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm awalilia Kaseja, Kiiza

Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm amesikitishwa na kitendo cha kuondoka kwa nyota wake Juma Kaseja, Hamisi Kiiza na Didier Kavumbagu, lakini akawataka wachezaji wake wasahau yaliyopita na waangalie yajayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PULJIM AWALILIA KASEJA, KIIZA, KAVUMBAGU; ATAKA WACHEZAJI KUJITAMBUA


KOCHA wa Yanga Hans Van Puljim (pichani chini kulia) amedai kusikikitshwa na mlinda mlango Juma Kaseja (juu kushoto) kuingia kwenye bifu na uongozi wa klabu hiyo wakati alimtegemea kuongoza wachezaji wenzake siku za nyuma akiinoa timu hiyo.


Puljim ambaye alichukua nafasi ya Ernie Brandts mwaka jana kabla ya  kutimuliwa mara baada ya mechi ya Mtani Jembe mwaka jana ambapo Yanga ilinyukwa mabao 3-1 alimtumia Kaseja kuwa nahodha katika kikosi chake lakini leo amesema anasikia uchungu kumkosa...

 

10 years ago

Habarileo

JK awalilia waathirika ajali ya Tabora

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa kutokana na ajali ya barabarani iliyotokea katika Kijiji cha Mlogolo, Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Ndugulile awalilia viongozi wa dini

VIONGOZI wa Kiislamu nchini wameombwa kuwaombea wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ili wapate busara na hekima katika kutengeneza Katiba mpya ya Watanzania. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA BISHANGA AWALILIA GEORGE TYSON NA MTOTO NASRA

Kifo cha George Tyson ni pigo kubwa lingine kwa taifa na fani ya filamu, George Tyson ukweli ametuinua wengi katika fani ya filamu kwa kazi yake nzuri ya kama director na producer wa filamu, nami ni zao la kazi nzuri ya Tyson katika kazi za filamu, hapa itakumbukwa mwaka 1998 hadi 2000 kipindi cha mambo hayo kilichokuwa kikirushwa ITV kilikuwa moto sana nchi nzima ilipata kushuhudia tulivyokuwa tunacheza, mfano wakati Bishanga alipomleta Waridi kama mchumba wake kule kijini kwetu...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiiza, Ngoma hapatoshi

Wakati miamba ya soka nchini Simba na Yanga zitakutana Jumamosi hii, pambano hilo linaonekana litanogeshwa zaidi na vita ya wachezaji wa kigeni kwa timu zote mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiiza aizamisha Express

 Mshambuliaji Hamis Kiiza alifunga bao pekee dakika 90 wakati Yanga wakiichapa Express 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Kiiza asema abweteki

PAMOJA na kuanza vema Ligi Kuu huku akiwa amefunga mabao mawili, Hamis Kiiza amesema hawezi kusema hayo ni mafanikio.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sasa ni zamu ya Kiiza

VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC, jana walizidi kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo, baada ya kuwalazimisha mabingwa watetezi Yanga sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

GPL

Kiiza atua Dar...

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI Hamis Kiiza raia wa Uganda, jana alitua nchini kwa ajili ya kufanya mchakato wa kumalizana na Simba, ambapo kauli aliyotoa na maandalizi ya Simba, vimeonyesha kuwa pande zote mbili hazina utani katika kujiandaa na msimu ujao wa 2015/2016. Simba ambayo imeshaweka wazi kuhusu kumsajili Kiiza aliyekuwa akiitumikia Yanga kwa miaka kadhaa, imeelezwa kuwa anatarajiwa kukabidhiwa nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani