RAIS KIKWETE AOMBWA KUMWAJIBISHA RC GAMA

Na Georgina Misama, MAELEZO-Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameombwa kumwajibisha mara moja Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bwn. Leonidas Gama kwa kutumia vibaya madaraka yake na kujiingiza kwenye biashara chafu ya kupora na kuwapa wawekezaji wageni ardhi ya wananchi mkoani humo. Ombi hilo limetolewa leo na Mbunge wa Rombo, Mkoani Kilimanjaro Mhe. Joseph Selasini alipokutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari wa Bunge, Mjini Dodoma.
Aidha, Mhe. Selasini ameitaka taasisi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 Sep
TGNP wapinga Rasimu kutoweka kipengele cha kumwajibisha Rais
Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari jana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto).
Na Mwandishi wetu
WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS), linaloratibiwa na mtandao wa kijinsia...
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Rais Magufuli sasa aombwa kutaifisha mashamba Kibaha
9 years ago
StarTV14 Nov
Rais Magufuli aombwa kuteua Mbunge atakayewakilisha wafanyabiashara wadogowadogo
Wamachinga mkoani Mbeya wamuomba Rais John Magufuli kutenga nafasi moja kati ya viti kumi vya wabunge wa kuteuliwa vilivyo chini ya mamlaka yake kwa ajili ya mwakilishi mmoja wa kundi la vijana wanaofanya biashara ndogondogo kote nchini.
Wamachinga hao wamemuomba Rais Magufuli kumteua Mbunge wa kundi hilo maalum nchini ili kuwapa fursa ya kufikisha kero na mapendekezo yao serikalini kwa lengo la kuondoa changamoto zinazowakabili katika shughuli zao na misuguano iliyopo baina yao na...
9 years ago
StarTV13 Nov
Rais Magufuli aombwa kuwachukulia hatua majangili wa meno ya tembo
Kamati ya Okoa Tembo Tanzania imemuandikia barua Rais John Magufuli ya kumuomba kuwachukulia hatua majangili na wafanyabiashara haramu ya Meno ya Tembo Tanzania ili kupunguza mauaji ya Tembo nchini.
Mwaka 2009 Tanzania ilikuwa na idadi ya Tembo 109,00 lakini hadi kufikia mwaka 2014 idadi ilipungua kwa asilimia 60 mpaka kufikia Tembo 43, 000 ambapo jitihada za ziada zinahitajika ili kuwanusuru Tembo waliobaki.
Kutokana na tatizo hilo kamati Hiyo ya Okoa Tembo wa Tanzania imemtaka Rais...
10 years ago
Vijimambo
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA

RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Serikali kumwajibisha mkandarasi aliyetoroka
WIZARA ya Maji imetakiwa kumchukulia hatua za kinidhamu mkandarasi wa mradi wa maji wilayani Meatu aliyetoroka kazini. Ushauri huo ulitolewa bungeni jana na Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Dk. Antony Mbassa...
11 years ago
Habarileo27 Oct
Mwandosya: Si lazima Katiba itamke kumwajibisha Mbunge
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya amesema kutowekwa kwa kipengele cha wananchi kuwajibisha wabunge pale wanapofanya kinyume na matarajio yao katika Katiba Iliyopendekezwa, hakuondoi nguvu ya wananchi kwa wabunge wao.
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Kuimarisha mamlaka ya wananchi ni pamoja na haki ya kumwajibisha mbunge
10 years ago
VijimamboRAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA
