RECHO AND I AMEONDOKA NA AHADI YANGU
ILINICHUKUA muda kukikubali kifo cha rafiki yangu kipenzi, mwigizaji Rachel Haule ‘Recho’ ambacho kilitokea Mei 26, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar. Lakini sina cha kufanya. Ni kweli Recho ameondoka. Hapa nataka nizungumzie kidogo maisha yangu na marehemu Recho. Marehemu Rachel Haule ‘Recho’ akiwa na mumewe Saguda enzi za uhai wake Kama inavyokuwa kwa wanadamu wengi kupitia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Aug
JK: Sifa yangu ni kutekeleza ahadi
HUKU akikaribia kukabidhi madaraka kwa Rais wa Awamu ya Tano baadaye mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya sifa yake na ya chama tawala, CCM, ni kutekeleza ahadi walizowaahidi Watanzania wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010.
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
BOB: Kanumba ametangulia na ahadi yangu
“KIFO cha mwigizaji Steven Kanumba kilinishtua na kuniuma, kwani ni mtu ambaye nilikuwa nimepanga kufanya naye kazi nyingi, lakini nikiwa nimeahidiwa kufanya naye kazi, ghafla furaha yangu iliingia dosari baada...
10 years ago
GPLBABA HAJI: KANUMBA AMEONDOKA NA SANAA YA BONGO
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Ray Awashangaa Wanaodai Kanumba Ameondoka na Tasnia ya Filamu
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi 'Ray' hivi juzi kati kupitia kukursa wake kwenye mtando picha wa Instagram amendika mtazamo juu ya tasnia ya filamu na wadau wote kwa ujumla.
Napenda kuchukua furrsa hii kuwashukuru wadau wote kwa michango na sapoti yenu iliyosaidia kuifikisha tasnia ya filamu hapa ilipo.
Bila nyinyi pengine hadithi ingekuwa tofauti leo kikubwa ni kujenga moyo wa kizalendo kwa wasanii wetu leo kuna misemo kila kona eti Kanumba kafa na tasnia imekufa, najaribu...
11 years ago
GPLDIAMOND AMEONDOKA KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO MPYA
9 years ago
Mwananchi04 Oct
KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)
Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...
11 years ago
GPLKIFO CHA RECHO...