RIHANNA AKANUSHA KUTOKA NA MATT BARNES
Diva wa R&B asiyekaukiwa vituko kutoka nchini Marekani, Robyn Rihanna Fenty ‘RiRi’. New York, Marekani DIVA wa R&B asiyekaukiwa vituko kutoka nchini Marekani, Robyn Rihanna Fenty ‘RiRi’ hivi karibuni amekuja juu baada ya staa wa NBA, Matt Barnes kudai kuwa kwa sasa wapo karibu na ikiwa mipango yao itakwenda vizuri, siku si nyingi wanaweza kudumbukia kwenye dimbwi la malavidavi kulifufua upya penzi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!
Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.
Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.
“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.
Picha: Jokate akiwa...
10 years ago
GPLMAMA KANUMBA AKANUSHA KUTOKA NA SERENGETI BOI
9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Lulu Akanusha Kutoka na Tekno, Atoa Maelezo ya Kina
Elizabeth ‘Lulu’ Michael amelazimika kuandika maelezo marefu kukanusha tetesi zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa alivunja amri ya sita na hitmaker wa Duro, Tekno aliyekuwepo Dar siku ya mwaka mpya.
Haya ni maelezo yake aliyoandika kwenye Instagram:
Okay…naona watu Mnatafutaga Topic Na mkipata picha story mnatungaga mnazozijua NI hivi….naomba heshima Na busara vitumike Nilikutana Na Tekno Kwenye show yake Na alikuja kunisalimia kwenye meza Yangu,picha zote zilizopigwa Na yeye au mtu...
9 years ago
Bongo Movies06 Sep
Mume wa Dada Yake na Diamond Akanusha Kutoka na Wema
Mume wa dada yake na Diamond, Esma, Petit Man ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Film amekanusha kutoka kimapenzi na na bosi wake huyo.
Akizungumza kwenye kipindi cha na FNL cha EATV jana, Petit alisema anamheshimu Wema kama bosi wake.
“Niko na Wema huu ni mwaka wa nane inasemekana vitu hivyo hivyo,” alisema. “Lakini Wema akiwa tu karibu na mtu basi watu wanasema hivyo. Ilikuwa kwa Mirror wakasema hayo, maneno hayo ni maneno wanayoyaongea. Hakuna kitu...
9 years ago
Bongo506 Oct
Idris Sultan akanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu
11 years ago
Bongo513 Aug
Meninah: Diamond hata kumshika mkono sijawahi, akanusha tetesi za kutoka nae
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Barnes:Gerrard bado mzuri kwa Liverpool
11 years ago
Mwananchi21 Apr
John Barnes: Soka la akili linaumiza timu za Afrika
5 years ago
Mirror Online12 Apr
John Barnes rated better than Sadio Mane by ex-Liverpool star