RITA: MADUDU YA KINA SITTI MKIENDELEA KUYAFUMBIA MACHO TUTEGEMEE AIBU ZAIDI! KWENU
![](http://api.ning.com:80/files/yhCsS*vRHKgH*Xw0HXpN8SzGGi5vM*zLpswfsiIs81V0WqiS1FDjzCB2eN4fuvOi2viZ0z-NVzRqK2xB60tdg6UvfSgBRnTc/ERICK.jpg)
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), bila shaka mko vizuri mnaendelea kusimamia jukumu zito katika taifa letu.Usajili, Ufilisi na Udhamini siyo kazi ndogo. Ni kazi inayohitaji umakini wa hali ya juu maana matokeo ya ufanisi wenu ndiyo majibu ya shughuli nyingi katika nchi. Watu wakitaka kusafiri, kutambulika katika maeneo mbalimbali nyinyi lazima mhusike kutatua. Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Basata: Kashfa ya Sitti mikononi mwa RITA
10 years ago
MichuziRITA NA NBS WAENDESHA MAFUNZO YATAKAYOWEZESHA KUFANYA TATHMINI YA KINA YA MATUKIO MUHIMU YA MWANADAMU.
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Umaskini hohehahe aibu mbele ya macho yetu
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Madudu zaidi meno ya tembo
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
IAAF yataka adhabu zaidi kwa Rita Jeptoo
9 years ago
StarTV26 Dec
Zaidi ya wagonjwa 300 kufanyiwa upasuaji wa macho Mwanza
Zaidi ya wagonjwa 300 wenye matatizo ya macho mkoani Mwanza wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho kati ya wagonjwa elfu tano watakaopatiwa matibabu na Taasisi ya Bilali Muslim misheni ya nchini Tanzania.
Matibabu hayo yanayotolewa na jopo la madaktari bingwa wa huduma za upasuaji wa magonjwa ya macho ni ishara tosha kuwa ni mkombozi wa utatuzi wa magonjwa hayo ambayo imekuwa ni changamoto kubwa miongoni mwa jamii kutokana na kuwa na gharama kubwa.
mkazi wa Mkuyuni jijini Mwanza mwenye...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DGTGcp9_z00/XmOLmLt6eEI/AAAAAAALhuI/nj8uWn4i8T8ZKI-SpGFrLa16jN3UBb-ggCLcBGAsYHQ/s72-c/2020-03-07-278-0002.jpg)
Zaidi ya 250 wajitokeza uchunguzi presha ya macho Mloganzila
![](https://1.bp.blogspot.com/-DGTGcp9_z00/XmOLmLt6eEI/AAAAAAALhuI/nj8uWn4i8T8ZKI-SpGFrLa16jN3UBb-ggCLcBGAsYHQ/s640/2020-03-07-278-0002.jpg)
![](http://www.mnh.or.tz/muhimbiliblog/images/2020-03-07-278-0003.jpg)
Mtaalam wa kupima macho wa MNH-Mloganzila, Dkt. Martin Francis akimpima uwezo wa macho kuona, Bi. Nasra Yusuph.
![](http://www.mnh.or.tz/muhimbiliblog/images/2020-03-07-278-0004.jpg)
Mtaalam wa kupima macho MNH-Mloganzila, Dkt. Nestory Massawe akimpima uwezo wa macho kuona mbali na karibu, Bi. Sophia Shomari.
![](http://www.mnh.or.tz/muhimbiliblog/images/2020-03-07-278-0005.jpg)
Baadhi ya wananchi waliofika kufanyiwa uchunguzi wa macho.
Na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eyPN0_fzFVY/VTy79AlH-JI/AAAAAAAHTWw/coTUlPURNzo/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
Sitti Tanzania Foundation inakuletea Chozi la Sitti 02.05.2015 @Mlimani City Conference Hall
![](http://3.bp.blogspot.com/-eyPN0_fzFVY/VTy79AlH-JI/AAAAAAAHTWw/coTUlPURNzo/s1600/unnamed%2B(33).jpg)
Sitti Abbas Mtemvu, jina alilopewa kutoka kwa Bibi yake mzaa Baba, ambae nae wakati wa enzi zake alipewa jina hilo kutokana na umahiri wake wa kughani akifananishwa na msanii na mtunzi maarufu aliepata kutokea akiitwa Siti Binti Saad. Umahiri wa bibi ulimfanya kuwahi kushinda tuzo mbalimbali za sanaa wakati huo katika ukumbi maarufu wa burudani ulioitwa Anatoglou…….Nae alipozaliwa alipewa tunu, tunu ya jina la Sitti. Haya ni machache latika kitabu chake kipya kikiitwa – Chozi la Sitti……Kwa...
10 years ago
Bongo506 Dec
Madam Rita kuja na kipindi cha TV ‘Rita Paulsen Show’
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10