Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rose Muhando, Martha Mwaipaja, Solomon Mukubwa kuwasha moto

Waimbaji mahiri wa muziki wa injili, Solomon Mukubwa, Rose Muhando na Martha Mwaipaja wataongoza shamrashamra za Tamasha la Krismasi katika mikoa ya Nyanda za Juu kusini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

SOLOMON MUKUBWA: Ninapenda kuimbia injili katika ardhi ya Tanzania

MFALME wa amani, mfalme wa amani uinuliwe,wewe ni mwema wewe ni mwema Bwana wangu,” ni sehemu ya wimbo uliomtambulisha vema mwimbaji Solomon Mukubwa, mmoja wa waimbaji mahiri wa muziki wa...

 

11 years ago

GPL

MARTHA MWAIPAJA AKITOA BURUDANI

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Martha Mwaipaja akitumbuiza katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.…

 

10 years ago

Michuzi

Martha Mwaipaja apania kuburudisha tamasha la Krismass.


“TAMASHA linafanyika siku maalum ambayo Yesu Kristo amezaliwa, nitatoa huduma kwa njia ya uimbaji naomba wakazi wa mikoa yote mitatu wafike kwa wingi wale ambao hawanifahamu pia watanifahamu siku hiyo na wataguswa na kupata ujumbe uliotukuka,” anasema mwimbaji Martha Mwaipaja. Mwimbaji huyo anasema kuwa amejipanga vilivyo ikiwa pamoja na kufanya maandalizi ya hali ya juu huku akisistiza kuwa atafanya makubwa katika tamasha la Krismasi ambalo litakuwa la pili kufanyika. Mwaipaja ...

 

9 years ago

Mtanzania

Martha Mwaipaja, Jesca, Mwahangila kupanda jukwaa la Krismasi

marthaNA MWANDISHI WETU

WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili hapa nchini, Martha Mwaipaja, Jesca BM na Christopher Mwahangila, wanatarajia kupanda katika jukwaa la Tamasha la Krismasi linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.

Waimbaji hao wanaungana na wenzao waliotangulia kuthibitisha kushiriki tamasha hilo, ambalo lina malengo ya
kurudisha shukrani kwa Mungu baada ya kufanikisha uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu.
Mwenyekiti...

 

9 years ago

Michuzi

Martha Mwaipaja, Jesca BM, Mwahangila kupanda jukwaa la Krismasi

WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, Jesca BM na Christopher Mwahangila wanatarajia kupanda katika jukwaa la Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Waimbaji hao wanaungana na wenzao waliotangulia kuthibitisha kushiriki tamasha hilo ambalo lina mlengo wa kurudisha Shukrani kwa Mungu baada ya kufanikisha uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

GPL

MARTHA MWAIPAJA: TUTAIMBA, KUSIFU NA KUJIFUNZA MENGI LEO!

Martha Mwaipaja. MMOJA wa waimbaji wa nyimbo za injili anayetarajiwa kulipamba na kulisindikiza tamasha kubwa na la kihistoria la ujasiriamali linaloendelea jijini hapa kuanzia jana, Martha Mwaipaja amesema leo kutakuwa na burudani ya kipekee ndani ya viwanja vya CCM Kirumba, ambapo watu wote wataimba, kusifu na kujifunza mambo mengi ya kijasiriamali. Akizungumza na mwandishi wetu kwenye moja ya mahojiano maalumu, Martha ambaye...

 

10 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI


 Kutoka kushoto ni Maria Rutayuga kuotoka Maryland, Jesca Kalemera kutoka New Jersey, Mercy Sukaya kutoka Michigan na Grace Mlingi kutaoka Maryland. Washiriki wakimsikiliza mmoja ya waratibu alipokua akiwaelekeza jambo kwenye hotel waliyofikia ya Double Tree iliyopo Dwntown Silver Spring.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI‏

 Miss Tanzania USA Pageant kesho itafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki wenzake huku Pendo Rancy (kushoto) mmoja ya waratibu wa Miss Tanzania USA Pageant akimsikiliza wengine katika picha ni washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant 2014 Maria Rutayuga (wapili toka kushoto), Mercy Sukaya (watatu toka...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MGONJWA

Stori: Gladness Mallya
TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani