Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUSHWA IMESHAMIRI, CHAGUZI ZIJAZO TUTASHUHUDIA MENGI

Jaji Joseph Warioba. Rushwa ni miongoni mwa vichocheo vikubwa vya umaskini hapa nchini Tanzania.
Siyo kichocheo cha umaskini tu, bali pia ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika nchi ambazo shida hii imeshamiri na kuota mizizi. Rushwa iliyokithiri katika nchi yoyote, huathiri utawala bora na kushindwa hata kwa nguvu za soko kiuchumi katika nchi husika.Rushwa iliyokithiri siyo tatizo linaloikumba Tanzania peke yake, bali dunia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watishia kususia chaguzi zote zijazo

BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, mkoani Pwani, wamesema hawatashiriki kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni endapo jirani zao wa Mtaa wa Vingunguti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuwakatae viongozi wabinafsi chaguzi zijazo

KWA kuwa nchi inaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni vema kila mmoja wetu akijiaandaa kwa ajili ya uchaguzi huo. Uchaguzi huo una umuhimu wake hususan kwa watu wenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa sasa imeshamiri kwa Watanzania

Rushwa, rushwa, rushwa! Ndiyo wimbo ambao tunauimba kila kukicha. Tunatafuta mbinu za kuiondoa, tunasali na tunaunda taasisi kadhaa ili kuitokomeza, lakini nachelea kusema kuwa mwarobaini wake bado haujapatikana au pengine utapatikana miaka 300 ijayo.

 

10 years ago

StarTV

TEMCO yateua waangalizi 180 wa muda katika chaguzi zijazo.

Na Grace Semfuko,

Dar es Salaam.

 

Kamati ya Uangalizi wa Chaguzi Tanzania TEMCO imeanza kuangalia na kupitia mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015 kwa kuteua timu ya waangalizi 180 wa muda wa uchaguzi huo watakaoangalia zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linalotarajia kuanza tarehe 23 mwezi huu.

 

Kamati hiyo inayoongozwa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania REDET pia itaangalia mchakato wa upigaji kura ya maoni kuhusu Katiba inayopendekezwa ikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuvunje Bunge la Katiba tufanye maandalizi mazuri ya chaguzi zijazo

MAMBO yanayotokea sasa hivi kisiasa kusema kweli si alama nzuri ya ustawi wa jamii yetu. Watanzania walikuwa na bahati ya kuandika katiba yao wenyewe lakini bahati mbaya mchakato huo umetekwa na kuvurugwa na wanasiasa...

 

10 years ago

Vijimambo

VYAMA SITA VISIVYOKUWA NA WABUNGE VYAAMUA KUSHIRIKIANA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO

1 Mwenyekiti wa Chama cha UPDP na aliyekuwa mbunge wa bunge maalum la katiba Mh. Fahmi Dovutwa akitoa taarifa ya ushirikiano wa Vyama sita vya siasa visivyokuwa na wambunge katika uchaguzi wa Serkali za Mitaa, Wabunge na Rais unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu mpaka mwaka 2015 ambapo uchaguzi wa Wabunge na Rais utafanyika.
“Dovutwa amesema vyama hivyo vimeamua kushirikiana kwa sababu vipo vyama vilivyounda kundi lisilokuwa la kisheria linaitwa Ukawa, lakini  hakuna sheria inayoturuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA

Video imepigwa na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .

 

11 years ago

Mwananchi

Rushwa kwenye chaguzi, ufisadi vyamchukiza Sumaye

>Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema angefarijika kama wanasiasa wanaojiandaa kugombea Urais mwaka 2015, wangekemea vitendo vya rushwa na ufisadi hadharani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mengi: Tajeni wala rushwa kwa majina

Mwenyekiti Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Dk Reginald Mengi amesema vyombo vya habari vinapaswa kuwataja kwa majina watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa katika taasisi za umma, badala ya kutoa tuhuma za jumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani