SADC YASEMA. INAJIVUNIA KAZI NZURI YA FORCE INTERVENTION BRIGADE (FIB)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1zGn_bwuVD4/U5oEvgAG3TI/AAAAAAAFqMc/2i2zIamRTNo/s72-c/unnamed+(46).jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika ( SADC) imetamka bayana kuwa, inajivunia mchango wake kupitia Force Intervention Brigade (FIB) inayoundwa na majeshi kutoka Tanzania, Afrika ya Kusini na Malawi katika ulinzi wa wananchi wasio kuwa na hatia , urejeshwaji wa hali ya Amani na utulivu pamoja na kuling’oa kundi la waasi la M-23. Siku ya Jumatano, Baraza kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, lilikuwa na mjadala wa wazi ulioandaliwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Apr
ALAT yaipongeza MSD kwa kazi nzuri
BOHARI ya Dawa nchini (MSD) imepongezwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), kwa kufikia asilimia 85 ya upatikanaji wa dawa, pamoja na kufanikisha upelekaji wa dawa na vifaa tiba moja kwa moja hadi ngazi ya kata.
10 years ago
Habarileo29 Oct
Shein asifu kazi nzuri ofisi ya CAG
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema kufanikiwa kwa udhibiti na ukaguzi mzuri wa fedha za serikali ndio silaha kubwa ya maendeleo ya nchi.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Jeshi la Polisi, JWTZ wapongezwa kazi nzuri
BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga wamepongeza hatua ya awali iliyofikiwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na JWTZ kwenye operesheni maalumu ya kusaka wahalifu pamoja na silaha waliokuwa wamejifisha katika mapango ya Majimoto yaliyopo eneo la Mzizima Amboni, nje kidogo ya mji.
10 years ago
Habarileo11 Jul
Madiwani wampongeza ofisa mipango kwa kazi nzuri
BARAZA la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma lililovunjwa rasmi juzi, limempongeza Ofisa mipango wa halmashauri hiyo Thekla Nyoni kutokana na utendaji mzuri wa kazi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ikqw4Ki8TM8/XmsVs-NNCfI/AAAAAAALi4E/WpIFwI78vYEbIw5PBEttoapE81t5vuDZwCLcBGAsYHQ/s72-c/31f7a3a4-ae26-4a89-b549-3cdf97247d1a.jpg)
RC NJOMBE AWAPONGEZA WALIMU WAWILI LUDEWA KWA KAZI NZURI
Na Shukrani Kawogo, Njombe.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewapongeza walimu wawili wa shule ya msingi Nindi iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa juhudi wanazofanya kwa kuwafundisha wanafunzi wa shule hiyo kwa moyo wote bila kujali upungufu wa walimu walionao.
Walimu hao waliofahamika kwa majina ya Rebeca Mhagama Pamoja na Judith Kayombo wamekuwa wakifundisha wawili tu katika mikondo kumi na moja huku jumla ya wanafunzi wote ikiwa ni 308 wa shule ya msingi na 42 wa...
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mbarawa: Pemba chagueni CCM sasa muone kazi nzuri
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mkanyageni, Pemba kwa tiketi ya CCM, Profesa Makame Mbarawa amewataka wananchi wa majimbo ya uchaguzi ya Pemba wasirudie makosa ya kukichagua Chama cha Wananchi (CUF) akisema viongozi wake hawapo kwa ajili ya maslahi ya wananchi na wapiga kura.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Uturuki yasema iko tayari kufanya kazi na Urusi
9 years ago
Bongo512 Oct
Kufanya kazi nzuri ndio siri ya mafanikio yetu — Navy Kenzo