SEREMALA AJINYONGA, AACHA MASWALI
![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDIVSs7gqHDBHU7LENWFYDXKdWBizxmVcJBJF1N8takOLV-6U9SnC-kZDlbVX5oBbh89ViRMz7ycgg210jzvPVXf/paka.jpg)
Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah KATIKA hali ya kushangaza, mtu mmoja ambaye ni fundi seremala aitwaye Emmanuel Carlos, mkazi wa Kwabinyau Magomeni jijini Dar amekutwa akiwa amejinyonga saa mbili asubuhi Septemba 23, mwaka huu katika kile kinachodaiwa kuchoshwa na mgogoro wa kifamilia. Emmanuel Carlos enzi za uhai wake. Habari kutoka eneo la tukio zinasema kwamba, kwa muda mrefu, marehemu alikuwa na mgogoro...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Fundi seremala afa ghafla
FUNDI seremala, Ally Abdallah (33), mkazi wa Pugu amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla maeneo ya Buguruni Bakhressa jijini Dar es Salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Kamanda wa Polisi...
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Paa lamuua fundi seremala
FUNDI Seremala Ramadhani Hassan (52), maarufu Pilipili, mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam amefariki dunia baada ya kuanguka juu ya paa la nyumba. Kamanda wa polisi Mkoa wa Ilala,...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Seremala ashinda gari la Sh70 milioni
10 years ago
Habarileo09 Jul
Mwandosya aacha wosia
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/viirmOBcoEFeO7XL1OBSb0ekw8BoHwqnVzSsF5*71LkcMxprihDF*N0kB*Y7*IaYHI1ZkbVPAaiSLiazb-aQy2iYR673ek8z/Maureencropnew.jpg?width=650)
MAUREEN AACHA MKOROGO
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Diamond aacha gumzo Kusini
MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platinumz ameahidi kuwatendea haki wakazi wa mikoa ya Kusini kwa kufanya ziara kila mwaka kama shukrani, kwani safari yake ya kimuziki...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YgYdeQ2zeoweCktjpL6wYARUDbvnErMMfuGmdSnMqmFFTZxLIDgVNHHeTI8mOl2733y4mAgERHlU3oIdE0X8q7t/2.gif?width=650)
Pluijm aacha kazi Yanga
11 years ago
Habarileo25 Apr
Cleopa Msuya aacha siasa
RAIS Jakaya Kikwete juzi aliongoza mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro, katika sherehe za kumuaga aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa Msuya, baada ya kutangaza kustaafu siasa.