‘Serikali ikumbuke walemavu’
MWENYEKITI wa Chama cha Walemavu Wilaya ya Mbarali, Mbeya, Ibrahimu Thomas, ameitaka serikali kutambua umuhimu wa kundi hilo hasa katika kupanga mipango ya bajeti katika halmashauri hiyo. Thomas alitoa kauli...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
9 years ago
Mwananchi22 Aug
HISTORIA: Ikumbuke stori ya bao la ‘mkono wa Mungu’
9 years ago
Habarileo18 Dec
Walemavu waiomba Serikali iwakumbuke
SHIRIKISHO la Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma (SHIVYAWATA) wameitaka Serikali ihakikishe maisha ya watu wenye ulemavu yanakuwa bora kwa kuwapatia huduma bora za kijamii zikiwemo afya, elimu na ulinzi. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu wa Shirikisho hilo, Justin Ng’wantalima kwenye ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu mkoa wa Dodoma.
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
‘Serikali iwabane wazazi wanaoficha watoto walemavu’
SERIKALI mkoani Pwani imeombwa kuwachukulia hatua kali za kisheria wazazi wenye tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu kwani kitendo hicho kinasababisha kuwanyima haki zao za msingi ikiwemo ya kupata elimu....
9 years ago
StarTV12 Nov
Serikali yajipanga kuwapa elimu walemavu wasioona
Serikali imepanga kuwapa elimu walemavu wasioona nchini ili waweze kuendesha maisha yao kwa kumiliki miradi na kuondokana na dhana ya ombaomba.
Katika kuwapatia elimu hiyo Serikali imeandaa kongamano la kuwaelimisha mipango yake kuhusu umuhimu wao na namna inavyowajali.
Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali katika maisha yao ikiwemo ugumu wa maisha lakini sasa matumaini makubwa yapo mbele yao mara baada ya serikali kupanga kuwapa elimu ili kupata ujuzi wa kumiliki...
11 years ago
Habarileo17 Apr
Gharama za serikali tatu zitumike kusaidia walemavu
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ali Omar Makame ametaka gharama zitakazotumika kuanzisha serikali ya tatu zikatumike kuwasaidia watu wenye ulemavu wanaoishi katika dimbwi la umasikini miongoni mwa Watanzania walio wengi nchini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycGpSjRawy16xZhKQZ4dRHkuPJegC3bfb7VwiZehHprWhkWl5cHHKKUAT1J55yupOgQTZIRarnUSdYMWQgz8YWng/wheelchair2.jpg?width=650)
WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Serikali ijenge mazingira rafiki kwa majengo yote ya kusomea ili kuwasaidia walemavu — TASI
Katibu wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini, TASI, Ziada Msembo (kulia) akimkabidhi mwalimu wa wanafunzi walemavu wakiwakiwemo Albino shule ya msingi Ikungi mchanganyiko, Donard Bilali vitabu vya sheria zinazowahusu walemavu.
Katibu wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) nchini, Ziada Msembo akimkabidhi losheni ya kujikinga na miale ya jua mwanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko.
Katibu wa chama cha watu wenye...