Serikali yahusishwa na watekaji S Kusini
UN inasema kuwa vijana wa kiume waliotekwa nchini Sudan Kusini huenda walichukuliwia na wapiganaji wenye uhusiano na serikali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Rwanda yahusishwa na uvamizi A. Kusini
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Familia ya aliyetekwa walia na polisi, watekaji
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Nesi atekwa Dar, watekaji wataka Sh5 mil
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Bodi ya Ligi yahusishwa
NA MWANDISHI WETU
BODI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (TPLB) imehusishwa kwenye uvurundaji wa utoaji wa tuzo kwa waliofanya vizuri msimu uliopita wa ligi hiyo.
Kampuni ya Vodacom Tanzania ilifanya hafla ya utoaji wa tuzo hizo Alhamisi iliyopita jioni baada ya zoezi hilo mijadala mikubwa imeibuka kwenye vijiwe vya soka kutokana na baadhi ya waliopewa tuzo kutokidhi vigezo.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA jana zimedai kuwa baadhi ya wajumbe wa bodi ya ligi, walitaka kulinda...
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Ndege ya rais yahusishwa na wizi
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Ikulu ya Tanzania yahusishwa na Escrow
10 years ago
Habarileo26 Feb
Hoteli yahusishwa utekaji wa albino Pendo
MTOTO Pendo Emmanuel (4) mwenye ulemavu wa ngozi, aliyetekwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao wilayani Kwimba, imegundulika alihifadhiwa katika hoteli moja ya kifahari jijini Mwanza, kabla ya kukabidhiwa kwa watu wengine, walioondoka naye kusikojulikana.
9 years ago
Vijimambo03 Sep
POMBE YAHUSISHWA, AJALI MBAYA YA BODABODA
![Kasendeka, mhanga wa ajali iliyohusisha pikipiki mbili maarufu kama bodaboda.](http://aloyson.com/wp-content/uploads/2015/09/Ajali-bodaboda-tabora-7-620x411.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Kampuni yahusishwa vibali vya utoroshaji wanyama
KAMPUNI ya HAM Marketing and Gumbo Enterprise ya jijini Arusha imetajwa kuhusika katika uombaji wa vibali vya kukamata wanyama hai 154, wakiwemo Twiga wanne waliotoroshwa kwenda uarabuni kupitia uwanja wa Kimataifa...