Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yanawa mikono Al-Shabab Mtanzania

paul-chagonja1Na Esther Mbussi, Dar es Salaam
WAKATI mama mzazi wa Mtanzania Rashid Mberesero anayetuhumiwa kuwa kati ya wafuasi wa Al-Shabaab walioua wanafunzi 148 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya akitaka msaada wa Serikali ili akamwone mwanawe huyo, Jeshi la Polisi limesema halina uwezo wa kumsaidia.
Jeshi hilo limesema halina uwezo wa kumsaidia mama huyo, Fatma Ally kutokana na sheria mpya za ugaidi zilizopitishwa nchini Kenya hivi karibuni na kuwekewa pingamizi mahakamani.
Aidha limesema kadi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 30 Machi, 2020 amepokea kifaa maalumu cha kunawia mikono kilichotengenezwa na mjasiriamali wa kitanzania ndugu. Jonas Urio (Ambaye anatokea katika mkoa wa Manyara).
 Akizungumza leo Waziri Bashungwa amempongeza Jonas Urio kwa ubunifu wake huo wa kutengeza kifaa kizuri na bora cha kunawia mikono ambacho kinaweza kutumiwa na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuhudumia watu mbalimbali kusafisha mikono yao ili kuendeleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Sakata la foleni, Serikali sasa yanyoosha mikono

Serikali imenyoosha mikono ikisema ni shughuli ngumu kumaliza kabisa tatizo la foleni za magari nchini na hasa Dar es Salaam, bali kinachowezekana ni kuzipunguza tu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union yanawa kwa Boban, Nyosso

KLABU ya Coastal Union ya Tanga, imesema haina mpango wa kuwaongezea mkataba nyota wake Haruna Moshi ‘Boban’ na Juma Nyosso baada ya kwisha kwa mikataba yao ya awali. Ofisa Habari...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PLANET YATOA MSAADA WA VITAKASA MIKONO KWA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA COVID 19


Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akipokea vifaa vya hivyo vya kutakasa mikono kutoka kwa Meneja wa kampuni ya Planet phamasetcal limited,Joseph Lekumok ikiwa ni katika kusaidiana na Serikali kutatua Janga la Ugonjwa wa Covid 19 kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha

Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akiongea na wadau waliofika kutoa msaada wa vifaa vya kukabiliana na Ugonjwa wa Covid 19 ikiwemo Dawa ya kuulia bacteria Maalum ya kunawa mikono kwenye ofisi...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAKUTANISHA WAZALISHAJI WA MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KUTENGENEZA VITAKASA MIKONO (HAND SANITIZER) LEO JIJINI DODOMA.



WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na wazalishaji wa vitakasa mikono(Hand Sanitizer) wakati wa ufunguzi wa kikao cha kuweka mikakati ya kuongeza uzalishaji ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona kilichofanyika Jijini Dodoma.WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe. Innocent Bashungwa akisisitiza jambo wakati wa kikao na...

 

11 years ago

Habarileo

Anaswa akibanika mikono ya mtoto

WAKATI jamii ya Watanzania ikipigwa butwaa na ukatili wa kutisha aliofanyiwa mtoto wa miaka minne kwa kufungiwa ndani ya boksi kwa miaka mitatu mjini Morogoro, ukatili mwingine wa kutisha dhidi ya watoto umeripotiwa mkoani Kagera. Katika mkoa huo, mganga wa kienyeji ametiwa mbaroni, akituhumiwa kumuua kwa kumnyonga, kumkata mikono na kumzika katika nyumba yake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa kunawa mikono

JAMII imeshauriwa kuchukua tahadhari kwa kunawa mikono kabla na baada ya kula sambamba na kutumia vyoo bora ili kujikinga na maambukizi ya maradhi ya kuharisha na kutapika. Ushauri huo umetolewa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msanii asiyeona wa kazi za mikono

Msanii wa kazi za mikono asiyeona kutoka Uganda, ameweza kuendeleza kipaji chake cha sanaa tofauti na ilivyotegemewa.

 

9 years ago

Mwananchi

Marufuku kupeana mikono Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewataka wakazi wa jijini hilo kuchukua hadhari za kiafya ikiwamo kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono kutokana na mlipuko wa kipindupindu ambao mpaka sasa umeshawapata watu 56, kati yao watatu wamefariki dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani