SHAMSA AWAKANDIA MABWANA ZAKE
![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETsHtBFR8ayXyrXkq-U99JBU9mN2C5D4erG0O8acumiMHsDchdDHUZI*QQ1owoYIyoAv9qtSaBKQh4uBeZDIgEox/Shamsa.jpg)
Hamida hassan STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kuwakandia mabwana aliowahi kutoka nao kimapenzi na kusema kuwa ni wababaishaji na sasa ni bora atafute mwanaume wa kumuoa. Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford. Akipiga stori na Amani, Shamsa anayetikisa na Filamu ya Chausiku alisema, kwa sasa amejipanga kuolewa wakati wowote iwapo tu mwanaume mwenye sifa anazozitaka atajitokeza. “Wengi niliowahi kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HnOpTiyGrBA/VXnHxiZs_nI/AAAAAAAAvik/ZLH-IHn63IU/s72-c/officiallinah1.jpg)
LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...
![](http://3.bp.blogspot.com/-HnOpTiyGrBA/VXnHxiZs_nI/AAAAAAAAvik/ZLH-IHn63IU/s640/officiallinah1.jpg)
LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmimpenzi wake mpya ambaye amedai ni msaniimkubwa wa nchini Nigeria.LinahAkizungumza na kipindi cha Planet Bongo chaEast Africa Radio, Linah alisema anampendampenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,ataamua kumweka wazi ili mashabikiwamtambue.“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwasana, yaani huyo nampenda na hii sio project iporeal, mtamuona tu...
10 years ago
Bongo Movies08 Aug
Shamsa Ford Atoboa ‘Negative Sides’ Zake 20 Usizozijua
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameandika haya kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram.
Morning my people..hizi ndo my negative sides
(1) Nina wivu kupitiliza kwa mtu ambae nampenda ingawa sioneshi
(2) Nina kaukorofi nikiudhiwa
(3) Nina hasira sana
(4) Ni mtu ambae nikiamua langu nimeamua
(5) Mimi ni msiri mnooooo
(6) Ni mtu ambae ni mzito kusema shida yangu niko radhi nife nayo kimiya kimiya
(7) Ni mgumu kusamehe
(8) Mtu anaweza kunikosea na nikakaa kimiya...
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEwoqQOyiMnP9y4tV-xaKmwsyOIREXqtheCisP5EU2TgJjXA72lZcTJsQfjL*ae5aKjUYx8f4Zysch0HaAgsWxXg/DSC_0544.jpg)
MAPACHA WA SHIJA WAWACHANGANYA MABWANA
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Thea: Hatuvai Vimini Kusaka Mabwana
MWIGIZAJI Ndumbagwe Misayo maarufu kama Thea, amesema wasanii huvaa sketi fupi ‘vimini’ wakilenga kwenda na wakati na si kujipitisha mbele ya wanaume.
Thea aliiambia Mwanaspoti, kuwa ni kama wanatekeleza wimbo wa mwanamuziki Bwana Misosi ‘Nitoke Vipi’, lakini haimaanishi kwamba wavaaji wote ni wahuni.
“Vimini ni ‘kiki’ tu mjini, watu wengi wanaamini ni sehemu mojawapo ya uvaaji au Nitoke Vipi kama Bwana Misosi alivyosema. Kuna watu wanaamini waigizaji tunaovaa au wanaovaa vimini...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Kiongozi wa dini anatumikiaje mabwana wawili?
“TANZANIA tuna bahati ya kuwa na mfumo wa siasa na serikali usiofungamana na dini yoyote huku kila mmoja akiwa na uhuru wa kuabudu katika dini yoyote aitakayo, lakini sikubaliani na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2XoC4UL*-F1qL9B13332NKIh*xDQBzeq1EPOqEdWHQIar5NlHa6UEN*Xg9RXG1qmSg1YtuVo8XvWi-2tfIlI2g/FRONTIJUMAA.jpg)
SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwoWEfQr3OyQaxltqC7r8W*fWZzXOE8pvX76U8OUhzgFPEOo0a44UU-4wrQ02GfEn8Y-nggnxXn8DovMtzksXiek/Mapanga.jpg)
AKATWA MAPANGA KWA MADAI YA KUGONGANISHA MABWANA