Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIGONGO AWAMWAGIA DOLA WACHEZAJI STARS

Shigongo (wa pili kutoka kulia) akizungumza na wachezaji Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. Erasto Nyoni wa pili kushoto ndiye aliyepokea Dola hizo kwa niamba ya wachezaji wenzake. Mmiliki wa kampuni ya Global Publishers Limited, wachapishaji wa magazeti ya Amani, Uwazi, Ijumaa, Championi, na Risasi. Eric James Shigongo aliwahutubia wachezaji wa timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta,…...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

11 years ago

Michuzi

WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View jijini Mbeya.
Wachezaji hao ni kipa Benedicto Tinoko Simwanda (Temeke), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mart Nooij alia na wachezaji Stars

WAKATI kikosi cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Satrs kikirejea nchini jana kutoka Msumbiji, Kocha Mkuu Mart Nooij, amesema moja ya sababu kuu za kikosi chake kupoteza mechi dhidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashabiki wawafanyia fujo wachezaji Stars

Mashabiki wa soka jana walizua tafrani kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam baada ya kujaribu kuwatimua wachezaji wa Taifa Stars waliofika uwanjani hapo kwa mazoezi ya kujiandaa kuwakabili Uganda kwenye mechi ya kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan 2016).

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars : Tatizo ni makocha au wachezaji?

Itakumbukwa Agosti 26,1979 Taifa Stars ilikuwa ikihitaji sare ya aina yoyote dhidi ya Zambia ili ifuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki mwaka 1968.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars,’ leo inatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayopigwa Septemba 7, mjini Bujumbura, Burundi. Kwa mujibu...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiwango cha wachezaji Taifa Stars chamkuna Mkwassa

Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwassa ameeleza kuridhishwa na kiwango cha wachezaji wake katika kambi yao inayoendelea nchini Afrika Kusini.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Twiga Stars afurahia kiwango cha wachezaji wake

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya ‘Harambee Starlets’ umemsaidia kugundua makosa ambayo atayafanyia kazi.

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAANZAUSAJILI WA WACHEZAJI KUANZA JUNI 15 MWAKA HUU.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 98TAREHE 15 JUNI, 2015TAIFA STARS YAFUNGWA NA MISRITimu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo imepoteza mchezo wake wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017 baada ya kufungwa kwa mabao 3 - 0 na wenyeji Misri.
Taifa Stars ilicheza vizuri kipindi cha kwanza na hasa sehemu ya ulinzi ilifanya kazi ya ziada kuokoa mashambulizi ya washambuliaji wa timu ya Misri, na kupelekea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani