SIFA 5 ZA MWANAUME ANAYEKUTAMANI-2
![](http://api.ning.com:80/files/Uf5Jdma8M32wM1tObmoJLCsViw7g464w2sTHq96JpiwfGCLS3W2yBb8C*J0CYPa-M6Qd2hgq9tTmN-0IN6hvQh1du**6VR3Q/Blogpiccouplecuddling4441652.jpg)
Ni Jumanne tena. Jumanne yenye hekaheka ya kampeni ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao. Lakini kwa wasomaji wangu naamini mnajua kutenganisha muda wa kunisoma na muda wa kushiriki kampeni ili kusikia sera za vyama vyenu. Mada yangu ya leo inatoka wiki iliyopita ambapo inasema; sifa tano za mwanaume anayekuthamini. Wiki iliyopita niliishia pale niliposema utakuta mwanaume anakuhesabia wanawake aliyokwishalala nao; Ester tayari,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wPuvme0wHfZkHO-wwkm3zByEqbkrBbluRX2l4DV9RLKuDa6pYlzqyzzYZuuKFWmSEV6DYpXc7DZ9RGdPzXwEX7552IFvT5iC/happy_couple1.jpg)
SIFA TANO ZA MWANAUME ANAYEKUTAMANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFW1nQiVBqeqIfsEMNplVRlo2h0UkL3ilNVRNGTG7OSly8LiZXYYc1cq5sTVKQgUKB0i66-jOdxGORLowkxW0wdf/10.jpg)
SIFA 6 ZA MWANAUME ANAYESTAHILI KUWA MUMEO!
9 years ago
Bongo516 Oct
Rose Ndauka ataja sifa za mwanaume anayependa kuwa naye
10 years ago
Bongo516 Feb
Lady Jaydee azitaja sifa za mwanaume amtakaye kwa sasa
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal
Robert Pires.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.
Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.
“Namjua Wanyama, ni balozi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-5bpIq0OwpzFCEN7z53*v7tfUR7NGFFbOgDIgFeHT0mW9axe1z1vNzZ0Fldw4weCkz3X2MRX7zemD4zBIrdiPXu/AJINYONGA.jpg?width=650)
MWANAUME AJINYONGA...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Mwanaume afa maji
WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio tofauti likiwemo la kufa maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi saa 10 jioni,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLqS86c8DdmyNp-B7j6a380rEws86k3ENt0RMGtgiu9JzHFZTGgdcwS1G*lTnu6kLj7blPUQb5G9IHCDZ9EzfXx/LOVE2.jpg)
SHOGA MWANAUME HAKOMOLEWI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQ48wH9Dt2SlBDYdl4nau-Dqizc5LICwQoiRHd64Lcm7nEAyG7jq006jhP4e3T5yWd4TesnYvdLSo-8bjRwpyWSQ8kbHQsDm/batuli.gif?width=650)
BATULI LAIVU NA MWANAUME