SIKINDE YAANZA KUIPUA NYIMBO MPYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-9dx7fhnDzUw/UxCSGP59mFI/AAAAAAAFQTU/kTYRKW2aLy8/s72-c/Sikinde1.jpg)
Hatimaye bendi kongwe, bendi pekee ambayo imepata kuwa mabingwa wa muziki nchini mara zote mbili ambazo mashindano hayo yamepata kufanyika, bendi ya Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae” imeanza kuipua nyimbo zake mpya zitakazokuwa katika album mpya ya “Jinamizi la Talaka” itakayozinduliwa mwaka huu 2014.
Album hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo 7,ambapo mpaka sasa Sikinde wameishazitoa nyimbo tatu.
Nyimbo hizo ni Jinamizi la Talaka, Za Mkwezi Mbili,Nikipata Nitalipa. Nyimbo hizo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-k6Z4Z3ICnOw/UqqrETmDDrI/AAAAAAAFBJE/ej9nSvFKLXc/s640/gurmo+akishiriki+mazoezi.jpg?width=640)
MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya
![skylight band 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band-2.jpg)
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.
![skylight band](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band.jpg)
Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Q-Chillah kuipua ‘Always Be Around’
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abubakar Shaaban ‘Q-Chillah’ anatarajiwa kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Always Be Around’ ambayo ameshirikiana na wakali kibao wanaotamba...
10 years ago
GPL26 Oct
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Jahazi kutambulisha nyimbo mpya Moro
KUNDI bingwa la miondoko ya muziki wa mwambao, Jahazi Modern Taarab litaanza kutambulisha nyimbo zake mpya mwishoni mwa mwezi huu, likianzia mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa ratiba ya kundi hilo,...
10 years ago
GPL11 Sep