Simba ‘yamvua nguo’ Ivo
IVO MAPUNDA
NA MWANDISHI WETU
ALIYEKUWA kipa wa timu ya Simba, Ivo Mapunda, amegeuziwa kibao na uongozi wa timu hiyo baada ya kuambiwa arudishe sehemu ya kitita cha fedha alichopewa kwa ajili ya kusaini mkataba mpya.
Ijumaa iliyopita gazeti hili liliripoti kuwa uongozi wa timu hiyo umesitisha mpango wa kumwongezea mkataba kipa
huyo kwa mizengwe, ikidaiwa hawana imani naye tena, licha ya awali kufanya naye mazungumzo na ikadaiwa alitanguliziwa kitita cha Sh milioni 10 kama...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Ivo afanyiwa zengwe Simba
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imemtema kipa wake Ivo Mapunda, huku ikielezwa kuwa mkongwe huyo ameondoka katika timu hiyo baada ya kusukiwa zengwe ndani ya miamba hiyo.
Ivo alitua Simba Desemba mwaka juzi akitokea Gor Mahia ya Kenya, likiwa ni pendekezo la aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mcroatia Zdravko Logarusic na kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu uliomalizika Mei mwaka huu.
Baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Yanga,...
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Ivo amfunika Casillas Simba
![Kipa wa Simba, Ivo Mapunda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/IVO-MAPUNDA.jpg)
Kipa wa Simba, Ivo Mapunda
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MAKIPA wa timu ya Simba, Ivo Mapunda na Hussein Shariff ‘Casillas’, juzi wameoneshana umwamba wa kupangua mashuti yaliyokuwa yakipigwa na wachezaji wengine wa timu hiyo, huku Ivo akimfunika Casillas.
Makipa hao wanaoneshana umwamba ili kila mmoja kuipata nafasi ya kuwa kipa namba moja kwenye kikosi cha kocha, Zdravko Logarusic ‘Loga’raia wa Croatia aliyesaini mkataba wa mwaka mmoja Jumanne iliyopita.
Ivo alimfunika kipa huyo baada ya...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Ivo aitwa Kenya, Mkude ni Simba tu
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ivo, Cholo, Owino ruksa kuondoka Simba
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Ivo, Kiongera waachwa safari ya Simba Sauzi
10 years ago
VijimamboIVO SHUJAA SIMBA IKITWAA KOMBE LA MAPINDUZI
11 years ago
GPL![](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/12/Ivo.jpg?width=640)
IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.