Siti za daladala zauzwa kwa Sh500 Dar
Kwa mjamzito, mama mwenye mtoto, mzee au mtu mwingine yeyote mwenye matatizo, sasa anatakiwa kulipa fedha zaidi ya nauli ya daladala iwapo anataka nafasi ya kukaa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MWANAMKE AJERUHIWA KWA KUGONGWA NA DALADALA URAFIKI, DAR
 MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa ni mkazi wa Dar leo asubuhi aligongwa na gari aina ya…
10 years ago
Michuzi23 Jul
11 years ago
Mwananchi19 Sep
Azam yasaka ubingwa kwa Sh500 mil
‘Maisha yanakwenda kasi’, huo ndio ukweli baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Azam kutumia Sh565 milioni kusajili nyota sita akiwamo mchezaji ghali zaidi msimu huu, Leonel Saint-Preux.
11 years ago
Mwananchi15 Sep
Wataka posho ya Sh500,000 kwa siku
Mzimu wa posho umeibuka upya katika Bunge la Katiba, safari hii wajumbe wake wa Kamati ya Uandishi wakiomba walipwe posho maalumu ya Sh500,000 kwa siku kutokana na kazi ya kuandika Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
5 years ago
Michuzi
DALADALA DAR WAANZA KUBEBA ABIRIA KWA MTINDO WA 'LEVEL SEAT'... WAKAZI WAONJA RAHA NA KARAHA YAKE.
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
MAGARI ya usafiri maarufu kwa jina la Daladala leo yameanza kubeba abiri kwa idadi ya viti 'Level Seat' ikiwa ni mkakati wa kupambana na kuenea kwa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.
Utaratibu huo umeanza leo Machi 31 mwaka huu wa 2020 na hivyo kwenye vituo mbalimbali vya daladala mamia ya abiria ya wakazi wa Jiji hilo wameonekana wakiwa kituoni kwani daladala nyingi zilikuwa zikifika vituoni yakiwa yameshajaa abiria kutokana na utaratibu...
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Yanga yatumia Sh500 mil kwa nyota wanane
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wametumia zaidi ya Sh500 milioni kununua wachezaji nyota wanane katika kipindi cha miaka tatu.
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Taasisi ya Siti Binti Saad

11 years ago
GPL
DALADALA YAUA DAR
 Gari aina ya Toyota Coaster  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari  jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!
10 years ago
TheCitizen08 Feb
What it is like to commute by daladala in Dar
Mbagala Rangi Tatu Bus Terminal is a tidal wave of minibuses, motorcycles, trucks, shops, kiosks, hawkers, food stall owners and yelling daladala conductors. It has to be one of the most congested spots in all of the country.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania