Sitta shujaa au msaliti?
Samuel Sitta
Na Waandishi Wetu
HATUA ya Bunge Maalumu la Katiba kuhitimisha kazi yake kwa kupitisha Katiba inayopendekezwa, imemjengea taswira mbili tofauti Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta.
Wakati wengine wakitafsiri matokeo ya kupata theluthi mbili kila upande ili kupitisha Katiba inayopendekezwa kuwa yamembebesha Sitta taswira ya mtu shupavu na shujaa, upande unaompinga unamuona msaliti na kiongozi anayeweza kusababisha kuibuka na kukua kwa ufa mkubwa miongoni mwa jamii.
Hatua yake...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7O9oUfa8UNc/default.jpg)
Karatu wamzungumzia Dk Slaa, wasema ni shujaa, msaliti
Wakazi wa wilaya ya Karatu Mkoani Arusha wametoa maoni yao kuhusu kuacha siasa kwa aliyekuwa mbunge wao Dk Wilbroad Slaa, wengine wakisema kitendo alichofanya ni cha kishujaa wengine wakisema ni usaliti
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Kingunge: Mkomunisti msaliti au mfukuzia dinari chafu?
KAMA kuna mwanasiasa machachari aliyewahi kuteka siasa za nchi hii na katika kutetea siasa ya Uja
Joseph Mihangwa
10 years ago
Habarileo03 Oct
Shibuda- Heri kuwa msaliti kuliko mhaini
MJUMBE wa Bunge Maalumu, John Shibuda, amesema ni heri kuwa msaliti kuliko kuwa mhaini kwa maslahi mapana ya Watanzania.
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Ni nani msaliti wa CCM kati ya waasisi wa CCJ na Lowassa
MALUMBANO hayajengi. Fitna na siasa chafu dahari ni sumu katika utendaji ndani ya serikali na chama chochote kinachoongoza dola. Fitna na malumbano ni sawa na kichaa anayemcheka na kumdhihaki kichaa...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Lowassa shujaa?
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond, Edward Lowassa, a
Waandishi Wetu
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Q0hBcfefmkk/U3vm7ANlweI/AAAAAAAFkE0/X3tFgW8zKXQ/s72-c/unnamed+(47).jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6hThTe10UGjk2aJtPzkIgNuNHw8iQeeZdzZlR3AEfGrtqLhJ4Q*mwClkSuDRNJunX8bAMt4qk26V7obo-0iKvAf/DrSlaa4.jpg)
SLAA NI SHUJAA WA TAIFA
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Shujaa wa kesho apatikana
KAMPUNI ya Statoil Tanzania, imewatangaza na kuwazawadia washindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho huku Nassib Lilumba akiibuka mshindi wa shindano hilo kwa mwaka huu. Akizungumza wakati wa kutangazwa kwa...
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Shujaa wa riadha asiyesahaulika