Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SLAA NI SHUJAA WA TAIFA

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa. Na Amran kaima
HOTUBA ya kwanza tangu ‘atoweke’ kwenye anga za siasa ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa, aliyoitoa juzi Jumanne juu ya kujiweka pembeni, imepokelewa kwa hisia tofauti huku wengi wakimuita kuwa ni shujaa wa taifa kutokana na ujasiri wake, Ijumaa lina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

WATAALAMU WA MAMBO YA SIASA WANAKWAMBIA KUWA ETI SLAA NI SHUJAA WA TAIFA


Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa.HOTUBA ya kwanza tangu ‘atoweke’ kwenye anga za siasa ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa, aliyoitoa juzi Jumanne juu ya kujiweka pembeni, imepokelewa kwa hisia tofauti huku wengi wakimuita kuwa ni shujaa wa taifa kutokana na ujasiri wake, Ijumaa lina kila kitu.Katika mahojiano yaliyowahusisha wananchi na wachambuzi mbalimbali wa mambo ya kisiasa...

 

9 years ago

Vijimambo

Karatu wamzungumzia Dk Slaa, wasema ni shujaa, msaliti


Wakazi wa wilaya ya Karatu Mkoani Arusha wametoa maoni yao kuhusu kuacha siasa kwa aliyekuwa mbunge wao Dk Wilbroad Slaa, wengine wakisema kitendo alichofanya ni cha kishujaa wengine wakisema ni usaliti

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

KAULI aliyopata kuitoa Waziri Mkuu Mizengo Pinda bungeni kuwataka polisi wawapige wapinzani, na kauli ya juzi ya Rais Jakaya Kikwete kuwaagiza wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wajibu mapigo pale...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Ninalindwa na Usalama wa Taifa

Katibu mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa juzi alijitokeza tena hadharani kujibu mapigo ya hoja mbalimbali zilizojitokeza wakati akitangaza kustaafu siasa za vyama, akiweka bayana kwamba hivi sasa analindwa na usalama na amehama nyumbani kwake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa ataka deni la taifa lihakikiwe

SIKU chache baada ya serikali kukiri kupanda kwa deni la taifa ambalo sasa limefikia sh trilioni 27.04, kiasi ambacho kimeanza kuibua mjadala mkali juu ya mwenendo wa uchumi, Chama cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa atahadharisha migogoro kuligharimu taifa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema iwapo Serikali ya CCM haitaweka mazingira ya haki kwa makundi mbalimbali ndani ya jamii kwa ajili ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wamjibu Slaa, wasema tuhuma alizotoa zinalipasua taifa

Siku moja baada ya Dk Willibrod Slaa kuibuka na kuelezea kilichotokea wakati wa kumkaribisha Edward Lwoassa Ukawa na hatimaye kutangaza kuachana na siasa, Mwenyekiti mwenza wa Ukawa, James Mbatia amejibu tuhuma zilizotolewa na Dk Slaa huku akitahadharisha kuwa zinalenga kulipasua taifa.

 

9 years ago

Vijimambo

MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA


Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Lowassa shujaa?

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond, Edward Lowassa, a

Waandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani