Soka la vijana lianzie walipoishia wengine
Katikati ya mwezi huu, tasnia ya michezo ilipoteza mmoja wa watu muhimu. Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Sylvester Marsh. Aalifariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akitibiwa kwa muda mrefu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Soka la vijana lapigwa ‘tafu’
11 years ago
Mwananchi02 Nov
JK alilia soka la vijana nchini
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Soka yatumia kubadili vijana gerezani
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Bila uwekezaji soka ya vijana kazi bure
SOKA ya Tanzania bado inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo kwa hakika zimeifanya ishindwe kupiga hatua kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa. Zipo sababu nyingi zinazochangia hali hiyo,...
11 years ago
GPL
UWEKEZAJI KWA VIJANA KATIKA SOKA HAUKWEPEKI
11 years ago
Mwananchi24 Aug
Figo: Soka la vijana ndiyo dawa pekee
9 years ago
Bongo523 Nov
TAFF yaeleza walipoishia katika kuandaa sera mpya ya filamu na miliki bunifu

Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba ameeleza walipoishia katika juhudi za kuandaa sera mpya ya filamu pamoja na miliki bunifu.
Amesema hayo baada ya baadhi ya wadau ndani ya tasnia ya filamu kudai shirikisho hilo halijafanya chochote kwa ajili ya maendeleo ya tasnia ya filamu.
Kupitia ukurasa wake wa facebook, Mwakifanya aliandika: TAFF pamoja na vyama vyake wamefanya jitihada kubwa sana ambazo serikali ingezitekeleza nasema tungekuwa na mfumo nzuri sana wa...
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema