Sudan K: Uganda inaondoa majeshi yake
Sudan Kusini inasema kuwa majeshi ya Uganda yaliyoko Jonglei yameanza kuondoka nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Uganda:Majeshi Afrika kuimarisha usalama
Mazoezi ya Kijeshi nchini Uganda yashirikisha nchi tano yana kauli mbiu isemayo MALIZA UGAIDI
11 years ago
BBCSwahili23 Dec
Majeshi Sudan K. yajipanga kupigana
Majeshi ya Sudan Kusini yanajiandaa kupambana na waasi katika mji wa Bor, Rais Salva Kiir amesema.
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
Sudan Kusini yatetea majeshi ya UG
Waziri wa mashauri ya Nchi za kigeni wa Sudan Kusini Barnaba Marial Benjamin, ametetea kuwepo kwa wanajeshi wa Uganda Nchini mwake.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Tanzania kupeleka majeshi Sudan Kusini
Serikali inatarajia kupeleka kikosi kimoja cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Sudan Kusini kwa ajili ya kulinda amani kutokana na vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea.
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Kenya kupeleka majeshi Sudan Kusini
Kamati ya usalama ya Kenya imependekeza kupelekwa kwa wanajeshi wa kudumisha amani nchini Sudan Kusini
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mkuu wa majeshi afutwa kazi Sudan.Kusini
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemfuta kazi mkuu wa majeshi yake Generali James Hoth Mai bila ya kutoa sababu yoyote
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Majeshi ya China yalinda amani Sudan Kusini
Uchina imeanza kutuma mamia ya wanajeshi wake nchini Sudan Kusini mapema mwaka huu kujiunga katika kikosi cha Umoja wa Mataifa
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
Huenda UN ikatuma majeshi yake CAR
Umoja wa mataifa unasema wanajeshi zaidi wanahitajika kusaidia katika juhudi za kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Obama Kuondoa majeshi yake Afghanistan
Obama ameagiza Pentagon kuandaa mipango ya kuwaondoa wanajeshi wake wote kutoka Afghanistan ifikapo mwisho wa mwaka huu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania