Tabia za kimaskini zinavyotutesa Watanzania wengi
Umaskini unaondoa utu, umaskini ni udhalilishaji, umaskini ni uhayani.Kwa kutambua ubaya wa umasikini, hata vitabu vya dini vinasisitiza waumini kumwomba Mwenyezi Mungu waondokane nao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Tabia hatarishi kwa maisha ya Watanzania;nyingi ni hatari kiafya
9 years ago
Michuzi
VIDEO FUPI YA EVELINA MOCEVICIUTE- Alivyowafagilia Watanzania na Tabia zao za Kiungwana
Ulikuwa na wenzio Tanzania kwa miezi sita...Mbeya vijijini. Ulikaa na wananchi. Vipi ulijisikaje katika eneo hili la Afrika? "...Lilikuwa jambo la kipekee. Ilitupa changamoto na utofauti mkubwa, ambao sin’tokawia kulirudia tena.
Kama nilivyokueleza awali kila siku tuliyokuwa vijijini ilikuwa kama wadhifa fulani. Maana tulitaka kuwa sehemu mahsusi ya jumuiya...wenyeji walitukaribisha, walituhusisha katika mambo yao...tulikaa na familia zao, tunashukuru sana kwa hilo....
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Dk. Maro: Watanzania wengi wagonjwa
WATANZANIA wengi ni wagonjwa si tu kutokana na maradhi, bali na hali duni ya maisha inayowakabili. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na Dk. Isaac Maro, alipokuwa akiwasilisha mada...
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Watanzania wengi wanamiliki hisa
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Malaria kuumiza Watanzania wengi
IMEELEZWA kuwa asilimia 91 ya Watanzania wapo hatarini kupata ugonjwa wa malaria kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mazingira wanayoishi. Takwimu hizo zilibainishwa na Kaimu Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
11 years ago
Mwananchi18 May
Eti Watanzania wengi siyo raia?
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Watanzania wengi wanaugua maradhi ya bawasiri
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Watanzania wengi wafungwa Hong Kong
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Watanzania wengi sasa wameelimika kuhusu VVU