Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TaGLA yatoa wito kwa Watanzania kushiriki kutumia mafunzo ya mtandao

DSC03626

Mkurugenzi Mtendaji,Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao(TaGLaA) Bw.Charles Senkondo (katikati mstari wa mbele )akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio ya taasisi hiyo pamoja na kuanzishwa kwa maktaba ya kisasa za maendeleo ikishirikiana na wadau mbali mbali ndani na nje ya nchi.(Picha na Magreth Kinabo- Maelezo).

DSC03622

Baadhi ya waandishi wa habari leo wakiwa katika mafunzo kuhusu Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLaA) inavyofanya kazi na mafanikio...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi atembelea ofisi za Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA)

 Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue (wanne Kushoto) akifuatilia kwa umakini mazungumzo kwa njia ya mtandao na watu wa Kenya, alipotembelea ofisi ya Wakala wa Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLa),leo jijini Dar es Salaam.

 Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue (wanne Kushoto) akifuatilia kwa umakini mazungumzo kwa njia ya mtandao na watu wa Kenya, alipotembelea ofisi ya Wakala wa Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLa),leo jijini Dar es Salaam.

 Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA MASUALA YA UWEKEZAJI

WATANZANIA wametakiwa kujitokeza katika masuala ya uwekezaji kwani fursa hiyo wanayo kama ilivyo kwa baadhi ya watu kutoka nje. Hayo yalisemwa na Ofisa Habari Idara ya Masoko, Waziri Ramadhani, wakati wa maonesho ya kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.Alisema hivyo kutokana na baadhi ya watu hapa nchini kudhani kuwa ili mtu awe muwekezaji ni lazima atoke nje ya nchi wakati sio kweli. “Nawaomba Watanzania wenzangu watambue kuwa wao pia ni...

 

11 years ago

Michuzi

Ofisi ya Makamu wa Rais yatoa mafunzo kwa vijana jinsi ya kutumia njia bora za kuhudumia Majokofu na Viyoyozi

Kundi la washiriki kutoka mkoa wa Dar es Salaam wakielekezana jinsi ya kutumia vifaa rafiki ya kuhudumia Majokofu na Viyoyozi siku ya pili ya mafunzo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wakufunzi kutoka vyuo vya ufundi Mbeya, Mwanza na Mkunazini – Zanzibar wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kutumia njia rafiki ya kuhudumia majokofu na viyoyozi bila ya kuharibu tabaka la Ozoni. Picha na Rashda Swedi.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA ATOA WITO KWA WAKULIMA KUTUMIA WATALAMU WA KILIMO

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiwaonyesha baadhi ya wake wa viongozi zabibu zilizolimwa kwa kufuata ushauri wa watalamu wa kilimo,zilizolimwa shambani kwa Waziri Mkuu Zuzu nje kidogo ya Dodoma mjini,wakati walipotembelea ili kupata utalaamu wa kulima kilimo cha Zabibu unavyo fanywa.kutoka kushoto ni Mama Malima,Mama Mashiba na Mama Lukuvi.Mke wa Naibu Waziri wa Fedha,Mama Naima Malima akionyesha utaalamu wake wa kutumia kamera,wakati alipokuwa akimpiga picha Mke wa Waziri Mkuu,Mama...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA WITO KWA WANACHAMA WA HIARI KUJIUNGA NA UANACHAMA

Na Francis Dande
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limewataka wafanyakazi wasio katika sekta isiyo rasmi kujiunga na NSSF ili kuboresha maisha yao ya sasa na baadae.
Akizungumza wakati wa Bonanza la Michezo kwa Makampuni, ambapo NSSF ilikuwa ni miongoni mwa wadhamini Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Said Malawi alisema kuwa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), imekuwa ikitoa elimu kwa wanachama wa kupitia huduma ya NSSF Mobile kwenye M-PESA.
Kwa kuwajali wanachama...

 

11 years ago

Michuzi

TTCL yatoa wito kwa jamii kusaidia zaidi wenye shida

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kulia) akijadiliana swala na Mwenyekiti wa kituo cha watoto cha Mama wa Huruma, Mtawa Berna Mdendemi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. TTCL ilitoa msaada wa mifuko 70 ya sementi kuwezesha kituo hicho kuwa na majengo yake. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kushoto) akiwasalimia watoto wa kituo cha Mama wa Huruma mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. TTCL ilitoa msaada wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu Ndio Wito wa Mtunis kwa Watanzania Waishio ‘SAUZI’

Utani Kidogo: Kufuatia kile kinachoendelea kule Afrika Kusini,  na tamko la waziri wa mambo ya nje wa hapa Tanzania, Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘Mtunis’  ameandika hii kwenye kukursa wake mtandaoni

"Haya jamani wale wenzangu na mimi ambao mumekaa muda mrefu huko SOUTH AFRICA na ukajikuta hata nauli ya kurudia NYUMBANI huna mbaya zaidi hata sababu ya kujitetea muda wote huo umekaa huko huna ulichokifanya mungu keshashua neema yake ni kiasi tu cha kwenda pale kwenye ile KAMBI YA...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yatoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi ya tehama


 Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia bi Prisca Ulomi akitoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)  wakati wa mkutano  na waandishi wa habari leo jijini Dar es salam . Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi Prisca Ulomi akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hatua iliyofikiwa na Serikali...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe atoa wito kwa Watanzania kuwasaidia watu wasiojiweza kwenye jamii

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb)  akimtazama kwa furaha mmoja wa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani kilichopo Kigogo Mburahati, Jijini Dar es Salaam. Waziri Membe alikitembelea kituo hicho wakati wa Siku Kuu ya Pasaka. Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita. Waziri Membe akitoa  msaada kwenye kituo hichoPicha zaidi BOFYA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani