Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHADHALI

Muonekano wa mojawapo ya link kutoka katika ujumbe wa email. Hii ni tahadhali kwa watumiaji wa mitandao ya simu kuhusu utapeli ambao unaendelea kwa sasa ambapo kuna kundi la watu linatuma ujumbe mfupi kupitia simu za mkononi na barua pepe (email) zikiwataka watu kuhakiki akaunti zao. TAFADHALI USIFANYE HIVYO! MOJAWAPO ya ujumbe kupitia barua pepe (email): Ndugu customer, Tusaidie kuweka akaunti yako… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAHADHALI YA CORONA

 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akinawa mikono kabla ya kuingia ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma leo, kuendelea na majukumu yake, ikiwa ni njia moja wapo ya kufanya mfano kwa vitendo nakusisitiza askari wote kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na wataalamu wa afya ili kujikinga na virusi vya ugonjwa
wa Corona (COVID –19).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuchukue tahadhali zaidi dhidi ya Ebola

TAARIFA za baadhi ya vyombo vya habari jana kwamba mtu aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya, zimewashitua wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

TAHADHALI YA UTAPELI KATIKA AJIRA YA POLISI

Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka mtandao wa matapeli wanaojipatia fedha kutoka kwa wananchi kwa udanganyifu kwamba watawapatia ajira ndani ya Jeshi la Polisi hasa katika kipindi hiki ambacho Jeshi la Polisi lipo katika mchakato wa ajira.

Kufuatia hali hiyo, Jeshi la Polisi nchini linatoa tahadhari kwa  wananchi wote kuwa makini na mtandao wa matapeli hao na kwamba, mfumo wa ajira ndani ya Jeshi la Polisi ni wa wazi na unafuata taratibu na kanuni za Jeshi la Polisi, hivyo, Vijana wote...

 

10 years ago

Michuzi

TAHADHALI YA MATAPELI WA MTANDAO KUTOKA BBC SWAHILI

Idhaa ya Kiswahili ya BBC inataka kuwatahadharisha wasikilizaji na watumiaji wa mtandao wake wa bbcswahili.com dhidi ya wahalifu wanaotumia jina la BBC kuwahadaa na kutaka kuwatapeli watu.
Kumezuka mtandao bandia unaotumia jina la BBC SWAHILI NEWS kuandika habari za uzushi na kulaghai wananchi kwa habari zisizokuwa na ukweli wala uhusiano na shirika hili la habari.
BBC inapenda kuwakumbusha wasikilizaji na wasomaji wake wote wanaofuatilia habari zake kuwa makini. BBC inaufahamisha umma wa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA SMART OIL YAANZA KUCHUKUA TAHADHALI YA KORONA BUKOBA.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Smart Ndg. Remigius Nshange maarufu Dkt. Remmy akionesha utayari na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, mara baada ya kupatiwa mafunzo kutoka kwa maafisa Afya.Afisa Afya Gabriel Zakaria kutoka Bukoba Manispaa akifundisha kwa vitendo namna ya kuosha mikono kwa sabuni wakati wa kuchukua tahadhali ya Ugonjwa wa Korona. Kituo cha Mafuta cha Smart Oil kilichopo Kibeta Bukoba Manispaa kama kilivyokutwa na Kamera yetu.

Wafanyakazi na wahudumu wa Kituo cha Mafuta...

 

5 years ago

Michuzi

RC NDIKILO – CORONA HAINA MZAHA ,WANANCHI WAJILINDE NA KUCHUKUA TAHADHALI






****************************
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ,amewaasa wananchi kuacha mzaha na kupuuzia kufuata elimu inayotolewa na wataalamu wa afya kujikinga na ugonjwa wa Corona huku akiwahimiza kuendelea kuchukua tahadhari . 
Aidha amewahimiza kutumia kuvaa Barakoa wanapokwenda katika Ofisi mbali mbali za Umma na Binafsi ikiwemo Ofisi yake, kwenye Daladala, Bodaboda na maeneo ya Biashara ikiwemo Sokoni, Ndikilo alisema tayari Mkoa una wagonjwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani