TAHADHALI YA CORONA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akinawa mikono kabla ya kuingia ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma leo, kuendelea na majukumu yake, ikiwa ni njia moja wapo ya kufanya mfano kwa vitendo nakusisitiza askari wote kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na wataalamu wa afya ili kujikinga na virusi vya ugonjwa
wa Corona (COVID –19).
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRC NDIKILO – CORONA HAINA MZAHA ,WANANCHI WAJILINDE NA KUCHUKUA TAHADHALI
****************************
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ,amewaasa wananchi kuacha mzaha na kupuuzia kufuata elimu inayotolewa na wataalamu wa afya kujikinga na ugonjwa wa Corona huku akiwahimiza kuendelea kuchukua tahadhari .
Aidha amewahimiza kutumia kuvaa Barakoa wanapokwenda katika Ofisi mbali mbali za Umma na Binafsi ikiwemo Ofisi yake, kwenye Daladala, Bodaboda na maeneo ya Biashara ikiwemo Sokoni, Ndikilo alisema tayari Mkoa una wagonjwa...
5 years ago
Michuzi10 years ago
GPLTAHADHALI
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Tuchukue tahadhali zaidi dhidi ya Ebola
TAARIFA za baadhi ya vyombo vya habari jana kwamba mtu aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya, zimewashitua wananchi...
9 years ago
MichuziTAHADHALI YA UTAPELI KATIKA AJIRA YA POLISI
10 years ago
MichuziTAHADHALI YA MATAPELI WA MTANDAO KUTOKA BBC SWAHILI
Kumezuka mtandao bandia unaotumia jina la BBC SWAHILI NEWS kuandika habari za uzushi na kulaghai wananchi kwa habari zisizokuwa na ukweli wala uhusiano na shirika hili la habari.
BBC inapenda kuwakumbusha wasikilizaji na wasomaji wake wote wanaofuatilia habari zake kuwa makini. BBC inaufahamisha umma wa...
10 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziKAMPUNI YA SMART OIL YAANZA KUCHUKUA TAHADHALI YA KORONA BUKOBA.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Smart Ndg. Remigius Nshange maarufu Dkt. Remmy akionesha utayari na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, mara baada ya kupatiwa mafunzo kutoka kwa maafisa Afya.Afisa Afya Gabriel Zakaria kutoka Bukoba Manispaa akifundisha kwa vitendo namna ya kuosha mikono kwa sabuni wakati wa kuchukua tahadhali ya Ugonjwa wa Korona. Kituo cha Mafuta cha Smart Oil kilichopo Kibeta Bukoba Manispaa kama kilivyokutwa na Kamera yetu.
Wafanyakazi na wahudumu wa Kituo cha Mafuta...
11 years ago
Michuzi19 May