TAHLISO yalia ada kupanda kiholela
WANAFUNZI wa elimu ya juu nchini, wametakiwa kutokulipa ongezeko la ada mpya ambayo baadhi ya vyuo vikuu vimekuwa vikipandisha kiholela na kupuuza tamko la Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Aug
RC azuia majeshi kutumika kiholela
MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Kanali mstaafu Issa Machibya amezuia kutumika kiholela kwa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama mkoani humo katika shughuli mbalimbali za kijamii hadi atakapotoa ruhusa ya kutumika kwao kutokana kutumika vibaya kwa majeshi hayo.
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Zahanati Kinondoni zajengwa kiholela
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Wahimizwa kutochimba madini kiholela
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Jihadharini na matumizi ya Antibiotiki kiholela
Mwenyekiti wa Antibiotic Resistance Partnership (GARP), Profesa Said Aboud kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi za Tiba Shirikishi (MUHAS) kushoto akitoa ripoti ripoti ya dunia kuhusu matumizi na usugu wa dawa za Antibiotiki ya mwaka 2015,uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.Katikati ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohammed Bakarina kulia ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irunde.
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohammed Bakari (kushoto wa pili)...
9 years ago
Habarileo12 Dec
Tahliso wamkubali Magufuli
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (Tahliso) wamepongeza hatua ya Serikali ya Rais John Magufuli kuongeza idadi ya wanafunzi ambao wamepata mikopo ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 34,128 mwaka jana hadi kufikia wanafunzi 53,032 mwaka huu.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Tahliso yacharukia wanasiasa
JUMUIYA ya Vyuo Vikuu Tanzania (Tahliso), imekemea vikali tabia ya baadhi ya wanasiasa nchini kutumia Serikali za wanafunzi wa vyuo hivyo kutoa matamko ya kuwaunga mkono katika hatakati zao za...
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Tahliso wasisitiza kuandamana
10 years ago
TheCitizen14 Sep
Tahliso: End CA sessions
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
DRC:Polisi waliwaua vijana kiholela