Wahimizwa kutochimba madini kiholela
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk Christine Ishengoma amewataka wachimbaji wadogo wa madini kufuata njia za kitaalamu katika uchimbaji ili kuepuka maafa migodini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Mar
Sekta ya madini wahimizwa uadilifu
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amewahimiza Watumishi wa Umma katika Sekta ya Madini kuwa wazalendo na kufanya kazi kwa ubunifu .
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Zahanati Kinondoni zajengwa kiholela
10 years ago
Habarileo30 Aug
RC azuia majeshi kutumika kiholela
MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Kanali mstaafu Issa Machibya amezuia kutumika kiholela kwa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama mkoani humo katika shughuli mbalimbali za kijamii hadi atakapotoa ruhusa ya kutumika kwao kutokana kutumika vibaya kwa majeshi hayo.
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Jihadharini na matumizi ya Antibiotiki kiholela
Mwenyekiti wa Antibiotic Resistance Partnership (GARP), Profesa Said Aboud kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi za Tiba Shirikishi (MUHAS) kushoto akitoa ripoti ripoti ya dunia kuhusu matumizi na usugu wa dawa za Antibiotiki ya mwaka 2015,uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.Katikati ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohammed Bakarina kulia ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irunde.
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohammed Bakari (kushoto wa pili)...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Uingizaji wa saruji kiholela wawaliza wazawa
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
DRC:Polisi waliwaua vijana kiholela
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
‘Watanzani msinununue bidhaa kiholela mitaani’
WATANZANIA wameshauriwa kutonunua bidhaa bidhaa zisizo na uhakika wa ubora mitaani na kujikuta wakiambulia hasara baada ya bidhaa hizo kuharibika kwa kipindi kifupi. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Habarileo30 Mar
Wahadharishwa kutojiunga na mifuko ya hifadhi kiholela
WALIMU wapya wameshauriwa kutokubali kuandikishwa kuingia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika mazingira yasiyo rasmi na badala yake wafike katika ofisi za wakurugenzi zilizoko katika halmashauri walizopangiwa.
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
TAHLISO yalia ada kupanda kiholela
WANAFUNZI wa elimu ya juu nchini, wametakiwa kutokulipa ongezeko la ada mpya ambayo baadhi ya vyuo vikuu vimekuwa vikipandisha kiholela na kupuuza tamko la Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Akizungumza...